Dawa ya kuondoa sumu mwilini

Dawa ya kuondoa sumu mwilini

habarini wana jamii forum,
ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika,I kiwa leo hii mtu ataulizwa ni ugonjwa gani unaoua waafrika wengi basi jibu la haraka haraka utaambiwa ni malaria,sipingani na hilk lakini ukweli usiopingika ni kwamba watanzania wengi wanakufa kutokana na matatizo ya sumu mwilini

NINI HASA KIINI CHA TATIZO HILI

Kiini kikubwa cha kuwa na sumu nyingi mwilini ni mfumo halisi wa maisha ya kiafrika ambayo tunaishi kuanzia kula,kuvaa na hata kulala yetu,Tunakula vyakula vingi mno ambavyo vinatujazia sumu kwenye miili yetu kila siku ya mungu, pamoja na vinywaji kama soda,bia na hata na vingine vingi,pamoja na hata madawa ya mahospitalini ambayo hutibu moja na kutengeneza mengine mengi

DALILI ZA SUMU NYINGI MWILINI

watu wengi hujiona wazima hali ya kuwa wanatembea na magonjwa mazito zaidi hata ya ukimwi,wagonjwa wenye tatizo hili la sumu mwilini husumbuliwa na matatizo yafuatayo
1;kuumwa chini ya kitovu
2;bawasili
3;vitambi hata kama atakula mara 1 kwa siku
4;tumbo kuwa gumu
5;tatizo la nguvu za kiume
6;Kukosa kabisa hamu ya kula
7;kukosa hamu ya tendo ndoa
8:Tumbo kuuma chini ya kitovu
9;mvurugiko wa hedhi
10;kuharibika kwa mimba mara kwa mara
na nyingine nyingi.
Ninyofuraha kuwaambia kuwa tiba imepatikana na imeshawasaidia wengi mpka sasa tiba yetu ni ta asili ambayo utaitumia kwa siku moja tu nikiwa na maana utaitumia kwa mara moja
Tiba yetu inapatikana kwa gharama ya shilingi elfu 20 tu kwa wateja wanaotoka jamii forum pekee na elf 35 kwa wateja wasio wana jamii forum
tunapatikana dar es salaam kipunguni,na kwa wale wa mikoani tunawatumia kwa njia ya mabasi au maboti
mawasiliano 062395e036 au 0659756647 karibuni
kwa maswali au ushauri usiaite kukoment
Wale wale wa HIYO PESA ITUME KTK No. 07xxx JINA LITAKUJA TOMJERRY BANKS, wizi mtupu
 
kwanini iwe wizi mtupu wakati umeelekezwa hadi ilipo ofisi. Kwa kweli mfumowa Elimu ya Tanzania inahitaji kufanyiwa maboresho makubwa. Elimu ya ujasiriamali ni sifuri kabisa.
 
Siku nyingine kama huna cha kuchangia bora usiandike kitu, pia usilazimishe mtu kuamini unachoamini wewe, vinginevyo na wewe nitakuunganisha kwenye kundi hilo hilo
 
hapa ndo mwisho wa uwezo wako wakufikiri?
 
Wale wale wa HIYO PESA ITUME KTK No. 07xxx JINA LITAKUJA TOMJERRY BANKS, wizi mtupu
kaka rudia vizuri thread yangu hapo juu nineelekeza vizuri sana kwamba unaweza kufika ofisini kwetu kipunguni au kwa wale wa makazini unaweza kuwasiliana nasi ukaletewa popote ulipo kwa kulipia gharama za delivery tu.pia Labda nikuweke sawa kuwa siyo kila mtu anayefanya biashara hizi yupo kama unavyofikiria.Hvyo waache wenye matatizo wasaidiwe ikiwa wewe uko sawa naona hakuna haja ya kuja ku comment upuuzi kama huu tena jf.
 
Siku nyingine kama huna cha kuchangia bora usiandike kitu, pia usilazimishe mtu kuamini unachoamini wewe, vinginevyo na wewe nitakuunganisha kwenye kundi hilo hilo
ndo changamoto za kazi dadaangu,watu kama hawa tunakutana nao wengi sana katika shughuli zetu lakini hawatupi shida ya kuwahudumia wale wenye uhitaji na tiba za maradhi tunazotibu
 
kaka rudia vizuri thread yangu hapo juu nineelekeza vizuri sana kwamba unaweza kufika ofisini kwetu kipunguni au kwa wale wa makazini unaweza kuwasiliana nasi ukaletewa popote ulipo kwa kulipia gharama za delivery tu.pia Labda nikuweke sawa kuwa siyo kila mtu anayefanya biashara hizi yupo kama unavyofikiria.Hvyo waache wenye matatizo wasaidiwe ikiwa wewe uko sawa naona hakuna haja ya kuja ku comment upuuzi kama huu tena jf.
Bora ya wewe umenijibu vizuri japo umenichana kiaina si mbaya, kuliko huyu mwenzio hapo juu
 
habarini wana jamii forum,
ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika,I kiwa leo hii mtu ataulizwa ni ugonjwa gani unaoua waafrika wengi basi jibu la haraka haraka utaambiwa ni malaria,sipingani na hilk lakini ukweli usiopingika ni kwamba watanzania wengi wanakufa kutokana na matatizo ya sumu mwilini

NINI HASA KIINI CHA TATIZO HILI

Kiini kikubwa cha kuwa na sumu nyingi mwilini ni mfumo halisi wa maisha ya kiafrika ambayo tunaishi kuanzia kula,kuvaa na hata kulala yetu,Tunakula vyakula vingi mno ambavyo vinatujazia sumu kwenye miili yetu kila siku ya mungu, pamoja na vinywaji kama soda,bia na hata na vingine vingi,pamoja na hata madawa ya mahospitalini ambayo hutibu moja na kutengeneza mengine mengi

DALILI ZA SUMU NYINGI MWILINI

watu wengi hujiona wazima hali ya kuwa wanatembea na magonjwa mazito zaidi hata ya ukimwi,wagonjwa wenye tatizo hili la sumu mwilini husumbuliwa na matatizo yafuatayo
1;kuumwa chini ya kitovu
2;bawasili
3;vitambi hata kama atakula mara 1 kwa siku
4;tumbo kuwa gumu
5;tatizo la nguvu za kiume
6;Kukosa kabisa hamu ya kula
7;kukosa hamu ya tendo ndoa
8:Tumbo kuuma chini ya kitovu
9;mvurugiko wa hedhi
10;kuharibika kwa mimba mara kwa mara
na nyingine nyingi.
Ninyofuraha kuwaambia kuwa tiba imepatikana na imeshawasaidia wengi mpka sasa tiba yetu ni ta asili ambayo utaitumia kwa siku moja tu nikiwa na maana utaitumia kwa mara moja
Tiba yetu inapatikana kwa gharama ya shilingi elfu 20 tu kwa wateja wanaotoka jamii forum pekee na elf 35 kwa wateja wasio wana jamii forum
tunapatikana dar es salaam kipunguni,na kwa wale wa mikoani tunawatumia kwa njia ya mabasi au maboti
mawasiliano 062395e036 au 0659756647 karibuni
kwa maswali au ushauri usiaite kukoment

Ina warranty kweli?
Nisipopona na nimeshatoa 30K?
 
ndugu guarantee ipo maana utapoitumia tu lazma utayaona matokeo pia kama mgonjwa upo huru kuongea na ofisi kuhusu maendeleo ya tiba
 
Bora ya wewe umenijibu vizuri japo umenichana kiaina si mbaya, kuliko huyu mwenzio hapo juu

MWENZIO HAPO JUU AMEFANYAJE? NILICHOSEMA MWANZO SI HILO HILO KUWA MTU AMEELEKEZA HADI OFISI. ACHA KUWA NDANI YA BOX. FIKIRI NJE YA BOX, TUMIA AKILI. ACHA MIHEMKO NA KUTUMIA MAKALIO KUFIKIRI.
 
Ungekua hujaweka namba za simu ningejaza macho kuso.a vzr. Nilivyoanza tu kusoma nilinua hili sio somo ni tangazo la biashara nikaruka mwisho nakuta contacts duh haya bana watakuja unaowasubiri
 
Halafu article yako naitilia mashaka unasema Waafrika wengi wanakufa kuyokana na sumu mwilini. Njia zinazojaza sumu zinatumiwa na wanadamu wa duniani kote iwe Ui gereza marekani nk. Lakini sumu inatajwa kwa waafrika tu??? Uko serious ndg??
 
dampo la vitu kutoka magharibi ni nchi gani?ukipata jibu hilo basi utakuwa umesha elewa nini nilichokuwa namaanisha
 
kwa wale walioko mombasa na kampala nimefungua utaratibu wa kuwatumia nanyi pia kwa njia za mabasi na wale wamikoani pia mtatumiwa kama kawaida
 
unaweza kujiona uko sahihi but swali lako ilibidi aulize mtoto wa form 1 but syo mbaya unaweza kuwa na wewe ni mmoja wapo,
kuhusu sumu ni kwamba binadamu anakula vyakula vingi vyenye sumu,sumu ambazo hutokana na kemikali mbali mbali zinazotokana na vyakula,kemikali ambazo huwekwa kwenye vyakula mahususi kwa ajili ya kuua wadudu na hata kwa ajili ya kuvifanya vikae kwa muda mrefu ili visiharibike.sasa kwa siku mtu anaweza kula na kunywa vyakula vya aina hii zaidi ya mara 7 kwa siku kwa vyakula vyenye kemikali tofauti tofauti hvyo zile kemikali ambazo anazitumia kwenye vyakula zinaenda kuungana na kutengeneza sumu nyingine ambazo huwa zinaua mwili taratibu,ndo maana kuna mtu utakuta aliumwa toka miaka 10 iliyopita na mwengine kila week anaumwa yote sababu ya hilo.
Mwisho ndugu naomba nikujulishe kuwa figo huwa haifi haraka kama hivyo unavyodhania,huwa inakufa poleploe mno na sumu zinapoingia mwilini huwa haziathiri figo pekee bali mfumo mzima wa mwili hvyo hata figo ikiwa inafnya kazi ya kupmbana na sumu bdo kuna sehemu zitaathirika.
mwisho kumbuka kwamba figo haikai mdomoni kwa maana sumu ikifika tu iingie direct
YAANI KUANDIKA UNA DAWA USHAONA UR KING USIULIZWE SWALI
HIO FORM.ONE WE UKUPITA HEAHIMU DARASA AMA ULIPIGA MADRASSA PEKEE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom