Recent content by Ngoto NAANYUNI

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Apokewa Kifalme Nchini Marekani !

    Yes. MKOMBOZI.
  2. N

    JamiiForums Tanzania "Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

    Kwa hili kati ya wewe na Sanane wewe ndiyo huna hoja. Hivi ilikuwaje wakakupa nafasi nyeti hivyo ya uongozi ccm? Au ndiyo ukweli wa jinsi mlivyofilisika? Huna tofauti na Hawa Ghasia aliyesema bungeni bila aibu kuwa CHADEMA wanataka vurugu Arusha ili watalii waahamie Kilimanjaro. Hivi vivutio vya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Arusha kukutana na Malaigwanani wa kimasai ili kuidhoofisha CHADEMA

    Amewashinikiza malaigwanani kwa kutumia mbinu zipi? Amewaambia nini? Itakuwa vibaya sana kuwaondolea wazee wetu heshima kwa kuwashinikiza waandamane wakati wanajua dola ndiyo wauwaji. Ongea nahuyo baba yako mdogo akwambie kimepangwa nini ili watu waamue jinsi ya kukabiliana na tukio hilo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM - Nduli Iringa aliyemtishia maisha Mh. Msigwa afariki dunia ghafla

    Tuache unafiki. Mtu muuaji na aliyejaa chuki kama huyu hatuwezi kumuombea alale pema. Na hamna asiyejua kuwa wote tutakufa. Mtu katili aliyetia watu vilema kwa kuogopa mabadiliko ni sawa na dikteta kama iddi amin. Kifo chake ni faraja.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nape, Mwigulu, Juliana na Mwampamba ndio wanaokidhalilisha na kuitia aibu CCM!

    Alizungumza wakati CHADEMA wakiwa hawapo bungeni na alipunguza kasi alivyojua kwa uhakika kuna video. Hivi hushangai polisi wametoa dau kubwa yaani shs milioni 100 kwa ushahidi wowote ule na mpaka sasa hajatokea mtu yeyote kutoa taarifa? Walifikiri watapata wasaliti CHADEMA wakutoa siri. Acha...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nape, Mwigulu, Juliana na Mwampamba ndio wanaokidhalilisha na kuitia aibu CCM!

    Kumlinganisha Tundu Lisu na huyo Savimbi ni matusi. Mwigilu hawezi kulegeza gidamu za viatu vya Tundu Lisu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kufifia kwa chama cha CUF katika ramani ya siasa Tanzania

    hahahaaaaaaaaa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kufifia kwa chama cha CUF katika ramani ya siasa Tanzania

    Aliyeongea msikitini alikuwa CHADEMA? Kama huna chakusema nyamaza.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Lissu: Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi!

    Tatizo la CCM mkiambiwa ukweli mnauita shutuma.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Lissu: Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi!

    Ni wazi kwamba hujui maana ya UHURU. Nchi huru haiuwi raia wake wanaodai haki. Nchi huru inaheshimu maoni ya wananchi wake wote na siyo wachache wanaoitikia kila jambo hata kama ni la uonevu. Waziri mkuu wa nchi huru hawezi kuwaamuru askari wapige tu watu wake kwa kuwa yeye kachoka kuongoza...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Membe: Msije Dar wakati wa ziara ya Obama

    Huo ukarabati ni wa muda tu. mgeni akiondoka tunarejea maisha yetu ya kawaida. Hii yote ni kuonyesha jinsi Vasco anavyompapatikia Obama.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mdee aishukia serikali!

    Inaelekea wewe njia panda umezoea mazungumzo kama ya kina wema sepetu. ukiwa level hiyo huwezi kumuelewa mdee.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kagame links JK's advice to Mtikila's hate speech

    Mtikila does not represent all Tanzanians. Does he know that even in Tanzania we have a number of non bantu tribes?
  14. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA "achaneni" na Dr.Slaa (Ushauri)

    Umaarufu wa CHADEMA unatokana na nguvu za Umma. Viongozi wa CHADEMA ni waalimu. Wanafanya ile kazi ambayo aliianza Mwalimu Nyerere ya kuwapa uelewa wananchi. Dr Slaa ni muhimu kama ulivyosema na ni wana CHADEMA ndiyo wanajua umuhimu wake kuliko wengine wote.
  15. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA "achaneni" na Dr.Slaa (Ushauri)

    Mbona viongozi wote wa CHADEMA wanasikika kwa nafasi zao tofauti? Hii inakaa kama wazo la ccm la kuwaogopa zaidi Dr na Tundu Lissu. Kuanza kupandikiza mawazo ya kuwagawa wanachama kwa kutumia viongozi wao siyo kujenga bali kubomoa. Hayo mapendekezo mengi yameshafanywa na yanaendelea kufanywa...
Back
Top Bottom