CHADEMA "achaneni" na Dr.Slaa (Ushauri)

CHADEMA "achaneni" na Dr.Slaa (Ushauri)

Angalia neno "achaneni" limetumikaje.Tatizo la wanachama wa Chadema huwa hawapendi ukweli.Ukiwaambia ukweli wanatukana.Mimi niwe na ajenda ya siri kwa ajili ya nini?Kutoa ushauri kama huu ni mapenzi tosha kwa chadema.Jaribuni kuelewa.Nasema Chadema "iachane" na Dr.Slaa.Maana yangu si mfukuze,au ipuze mchango wa Dr.Slaa.Maana yangu ni kwamba tayari Dr.Slaa anauzika,anafahamika,haina haja ya chama kutumia rasilimali nyingi kwa ajili ya mtu mmoja.Iwezeke kwa wanachama/wananchi ambao ndio watakaompigia kura Dr.Slaa wakati wa uchaguzi kama atapitishwa na chama chake.

Wewe ni m(....) maneno yote yanayoingia hapo kweny mabano yanakuhusu,
kwani umeona CHADEMA ni THT ama ni kituo cha kukuza vipaji?
Kama umeshakubali anauzika basi umpe kura yako sio kutokwa povu as if umepakwa ----- wa masaburi, Serukamba you..!

Na kama unataka mapenzi na CHADEMA, sisi hatufanyi huo ufirauni,nenda kwa Malima alieibiwa na Malaya kule Moro
 
CCM hamlali kila mara mnamwaza Dr. Slaa. Leo mnakuja na ushauri nyie wapumbavu kweli!!!!

Ndiyo unataka kwendana na signature yangu wewe nyambaff!!!!!
 
Kwa nini usiishauri serikali ya CCM ipeleke dawa mahospitalini akina mama na watoto wanakufa kwa kukosa dawa?
 
Kumbe shida yako unataka Chadema iache mikutano ya hadhara, ohh umenowa hapo,

Mleta mada amejitahidi kutoa maoni yake...
ILA ASITAKE TUSAHAU KWAMBA HATA YUDA ISKARIOTE ALIMBUSU YESU KRISTO...
Kwa akili ya mwanadamu ilionesha upendo....
Kwa akili ya ki-Mungu ulikuwa ni unafiki na usaliti!
Mazuri watachukua, mabaya yataachwa.
 
Nashukuru kwa ushauri wako.Mimi sina chama,ila nawaona Chadema wako kwenye mwelekeo mzuri ukiachana na kasoro ndogondogo ambazo huwa hazikosekani katika maisha ya binadamu.Nimeandika haya kwa moyo mkunjufu,na wala lengo halikuwa kuwabomoa Chadema.Nakiri kwamba Hoja yangu ya kwanza,sikuieleza kwa kina.Tuepuka dhana ya kwamba kila anayeisema Chadema ni adui,mwisho wa siku,adui ataachwa,kwa kuparamia wasio maadui.Pia tukubali kuyasikia hata yale tusiyoyapenda.

Tuko pamoja, hasa kwenye kujenga...Napenda ambiwa ukweli hata kama unauma kwani hunifanya nionekane na mim ni mtu katika watu... Ni ukweli usiopingika na hulka ya kila binadamu nikiwemo mimi kutopenda kaumbiwa ukweli. Nadhani watu tunakosea kusoma maandishi badala ya kusoma dhamira ya mtu. Usichoke, hakuna ukombozi uliorahisi kama ukombozi wa fikra chanya. Kuna watu wanabebeshwa hirizi na kuaminishwa kuwa bila hizo hirizi hakuna uhai....Amini unaweza, ukidhani kile unakimanisha sema mpaka wote wakusikie hata kama kina mapungufu kwan huwezi jua hadi wayaonyeshe mapungufu hayo... Tushirikiane kuushinda udhalimu,si CHADEMA tu bali wote wenye mapenzi mema, kwani CHADEMA hawatafaa kitu kama sote hatutashirikia kwa umoja wetu.
 
-Unataka ujue Plan B ya CHADEMAhuku ukiwa umeshajipambanua kuwa Adui?


-Ni jambo la ajabu sana kama atatokea Aduiyako akakushauri juuya aina ya silaha ya kutumia wakati wa mapambano na wewe ukakshawishika na kukubali

Kurukaruka kote kumbe Headache ni Dr.Slaa? Habari mbaya kwako CHADEMA ni Taasisi,U-Dr.Slaa ni taasisi.Wapo Dr.Slaa wengi kwenye kanda n.k.

Ni jambo la ajabu unaleta hoja za upotoshaji humu.Kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani uliopita zimeratibiwa na viongozi wa kanda tu.Sijui unataka kusema nini hapo kwenye hoja ya Decentralization. Jenga hoja ndani ya mantiki ndugu yangu utakuja kujifedhehesha hapa siku nyingnine

Ondoa basi hiyo picha uliyoweka ya Nelson Mandela maana hufanani nae kwenye matendo na kifikra kwa post hii tu uliyoandika

Ben, huyu jamaa nilikuwa nataka nimuulize kuwa wewe uko upande gani
 
Kutoa ushauri kama huu ni mapenzi tosha kwa chadema.Jaribuni kuelewa.Nasema Chadema "iachane" na Dr.Slaa.Maana yangu si mfukuze,au ipuze mchango wa Dr.Slaa.Maana yangu ni kwamba tayari Dr.Slaa anauzika,anafahamika,haina haja ya chama kutumia rasilimali nyingi kwa ajili ya mtu mmoja.Iwezeke kwa wanachama/wananchi ambao ndio watakaompigia kura Dr.Slaa wakati wa uchaguzi kama atapitishwa na chama chake.

So in short unaishauri CDM ivunje makubaliano yake, au?
 
Mtoa mada pole sana, ushauri wako ni mzuri tu ila tatizo la hawa wanachadema ukiwaambia ukweli hawataki wao wanataka uwasifie hata wanapokosea. Kwa staili hii sijui cdm mnataka kumuongoza ambaye hamtaki awahoji na kuwashauri. Hii imepelekea wanacdm kuitwa misukule sababu ni watu wa kupelekwa tu hata hamhoji uongozi wenu. Msituletee majanga nchini kwetu na ndiyo sababu watu hawawaamini.
 
Kutoa ushauri kama huu ni mapenzi tosha kwa chadema.Jaribuni kuelewa.Nasema Chadema "iachane" na Dr.Slaa.Maana yangu si mfukuze,au ipuze mchango wa Dr.Slaa.Maana yangu ni kwamba tayari Dr.Slaa anauzika,anafahamika,haina haja ya chama kutumia rasilimali nyingi kwa ajili ya mtu mmoja.Iwezeke kwa wanachama/wananchi ambao ndio watakaompigia kura Dr.Slaa wakati wa uchaguzi kama atapitishwa na chama chake.

Mkuu Mwankuga nifumbue macho kidogo hapo kwenye RED unamaanisha nini?Asante kwa utayari wako.
 
mleta mada alitakiwa tu azungumzie umuhimu wa chadema kutembelea nyumba kwa nyumba ila habari za Dr.Slaa hapa kama umeziingiza pasipohusika.

Mkuu swali kwa mleta mada unamtenganisha je Kinyozi na huduma ya Kunyoa?
 
mkuu ushauri wako utafanyiwa kazi na wahusika haya ni maoni yako kama mtanzani kikatiba inaruhusu.
 
Chadema hawashauriki!! Jamii forums na social media nyinginezo vinawavimbisha kichwa cdm kibwege -----!! Sijui wanafahamu ni asilimia ngapi ya watanzania wanauwezo wa kutumia hivi vitu
 
mwankuga
...nimejaribu kukuelewa lakini badala ya kukuelewa umezidi kunichanganya kwa maelezo yako yasiyoeleweka...unasema Dr Slaa ni mtu muhimu sana Chadema alfu hapohapo unashauri Chadema iachane na Dr Salaa(mtu muhimu)...hivi unaposema mtu muhimu labda unamaana gani?...

Ana maana kwamba umaarufu wa Chadema usijengwe juu ya mtu mmoja-Dr Slaa, bali ujengwa juu ya wananchi kwa kuwashawishi/kuwaelimisha kwanini Chadema kama chama ndiyo attractive alternative ya CCM. Na uelimishaji huu uanzie kwenye ngazi ya chini kabisa ya mtu na mtu, nyumba kwa nyumba, kaya kwa kaya, mtaa kwa mtaa etc. Kwa mawazo yangu huyu jamaa ana point hapa.
 
Ungemshauri Chagonja aachane na Jeshi kwani kwa madudu yake binafsi na familia yake havimpi nafasi kuendelea kulipwa mshahara na mafao kwa kodi zetu.

Pia ungemshauri Mwigulu arudi kuchunga ng'ombe maana at least alikuwa productive kwani ng'ombe walitoa maziwa na baadaye nyama. Pia hayo ndio mazingira stahiki ya watu wenye ubongo wa ain yake.

Ungeishauri TANAPA namna ya kupambana na jangili Kinana ambaye kwa sasa ni hatari kama UKIMWI kwa tembo wetu.

Ungeendelea kuishauri serikali yako tukufu na sikivu iwekeze kwenye elimu kupunguza zero. Pengine waangalie mafao ya walimu na vifaa vya kufundishia na sio majengo kama mamvi anavyojidai ku-achieve.Room for ushauri is ample so tap it!
 
Haya kwa kuwa ndugu zetu wa cdm hawapendi kukosolewa wao wamezoea kusifiwa tu, wacha niwasifu tu kuwa chadema mlifanya vizuri sana kwenye chaguzi za udiwani kwa kuchukua viti 6 na kuiacha ccm ichikue viti 16 Kati ya 22 vilivyogombewa..vp mmefurahi kwa sifa hiyo??
 
Mbona viongozi wote wa CHADEMA wanasikika kwa nafasi zao tofauti? Hii inakaa kama wazo la ccm la kuwaogopa zaidi Dr na Tundu Lissu. Kuanza kupandikiza mawazo ya kuwagawa wanachama kwa kutumia viongozi wao siyo kujenga bali kubomoa. Hayo mapendekezo mengi yameshafanywa na yanaendelea kufanywa. Acha hizo divide and rule tactics.
 
Umaarufu wa CHADEMA unatokana na nguvu za Umma. Viongozi wa CHADEMA ni waalimu. Wanafanya ile kazi ambayo aliianza Mwalimu Nyerere ya kuwapa uelewa wananchi. Dr Slaa ni muhimu kama ulivyosema na ni wana CHADEMA ndiyo wanajua umuhimu wake kuliko wengine wote.
 
Back
Top Bottom