Recent content by ngotho

  1. ngotho

    Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

    Hii fimbo ya baba wa taifa iko wapi kwani???
  2. ngotho

    Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

    Mnada😂😂😂
  3. ngotho

    Business information technology vs information technology.

    Ndiyo mkuu.. nilipata msaada wa kutosha na chaguzi nililolifanya ni sahihi kwangu.. imagine saiv napiga codding na niko hapa UDSM 💪.. Kumbe business information technology sio technology ndani ya biashara, bali ni biashara ndani ya technolojia.. Yaani tunapiga asilimia 98 ya IT na asilimia 2...
  4. ngotho

    Business information technology vs information technology.

    Mkuu najiamini sana tena hii kozi naipenda sana.. huu uzi niliuleta mwaka jana mwezi wa kumi kipindi cha kuchagua kozi, naona wewe umechelewa kuuona huu uzi
  5. ngotho

    Business information technology vs information technology.

    Sawa Mkuu, bila shaka mpaka sasa nipo chuo napiga hiyo kozi, nipo UDBS partially na COICT kwa wale wa UDSM wanaelewa
  6. ngotho

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata sikajua ni za wapi ila ni TENIS, Hizi ndi mechi zangu za kupigia ela, nawapa double chance maana provability ya ku-draw ni ndogo sana
  7. ngotho

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndiyo mkuu.. imagine nimeweka buku na ningepata 48000, Sema zilikuwa mechi nyingi kama 15 hivi, na bahati nzuri zote zimetiki isipokuwa tu hako ka shetani😈
  8. ngotho

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu wananiambia et full time wametoka 3:3, ovrtime ndo hilo la nne limepatikana. Ila mmmmhh.. Ela ndefu asee...
  9. ngotho

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wakuu habarini za muda huu.. Wakuu niliuweka mekeka na niliweka double chance either moja ashinde kama inavyoonekana hapo chini.. nashangaa hicho kialama chekundu kipo.. imekuwaje kuweje wakuu wakati hizo timu zimefungana tatu kwa nne..
  10. ngotho

    Mzazi mwenzangu ameolewa, nifuate hatua gani nimchukue mwanangu?

    Duu, mtoto si wangu kivip mkuu?? Umetumia kigezo gani boss??
  11. ngotho

    Mzazi mwenzangu ameolewa, nifuate hatua gani nimchukue mwanangu?

    DUU, MTOTO SIO WANGU????? KWA KIGEZO GANI MKUU??
  12. ngotho

    Mzazi mwenzangu ameolewa, nifuate hatua gani nimchukue mwanangu?

    Mkuu, yaani ni hivi, huku kwetu kuna tabia fulani hivi, ikitokea mdada ameolewa akiwa na mtoto wa kike, huyo mtoto anapendwa sana na familia ya hapo alipoolewa kwa sababu baada ya siku huyo mtoto ataolewa.. Ikitokea mdada ameolewa akiwa na mtoto wa kiume, kuna mawili yanaweza kutokea; either...
Back
Top Bottom