mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 10,518
- 19,883
Mkuu kufafana na mtoto sio kigezo cha uhalali wa mtoto,,Mkuu mtoto ni wangu, yaani tunafanana hadi keroo.. halafu istoshe, yule aliyemuoa alikuwa nje ya nchi, amekuja pale amemkuta mwanangu anatambaa..
We niambie tu kama mahakama inaweza kunielewa .
Kitendo cha kukatiwa mawasiliano ya simu na mama mkwe,, pengine kuna Jambo zito nyuma yake.
Dawa ni kuachana na hiyo family na kuangalia Mambo yako.
Damu haipotei mkuu.