Recent content by ngoshwe

  1. ngoshwe

    Serikali imefanikiwa kuzuia uamuzi wa kuzilipa kampuni za madini

    Kupitia mtandao wa ICSID kuna taarifa za kutia moyo kuwa Katibu Mkuu wa ICSID amesajili maombi ya kubatilishwa kwa tuzo yaliyowasilishwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maombi hayo, ICSID imesitisha kwa muda utekelezaji wa tuzo iliyotolewa dhidi ya Tanzania kwenye kesi iliyofunguliwa...
  2. ngoshwe

    Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

    Usipotoshe watu kwa masilahi yako. Lete video yote humu. Shida yetu watanzania hatujiongezi zaidi. Lete hapa habari kamili. Kesi ilikuwa inahusu nini na hoja za wenzetu zilikuwaje na sisi tulitoa utetezi gani?. Naona hao kwanza wamejitahidi mno. Na sijui kana kesi hiyo inayotajwa ndio hiyo...
  3. ngoshwe

    Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano ni Usanii au Ufisadi?

    Wamefikia wapi hilo la Taifa?
  4. ngoshwe

    Kichwa kuunguruma kwa mvumo

    Anaipataje hiyo Dawa? na Kiasi gani bei?
  5. ngoshwe

    Kichwa kuunguruma kwa mvumo

    Wadau, yupo ndugu yangu ambaye anasumbuka kwa muda sasa na amejaribu vipimo sehemu nyingi. Ilianza kidogo kidogo sasa inamsababishia shida, hawezi kulala vizuri. Kichwani anasema anahisi kama kuna vitu vina nguruma na pengine sikioni na huwa ni kama kuna mvumo fulani na wakati mwingine...
  6. ngoshwe

    Mahakama ya Rufaa yabatilisha uamuzi wa Mahakama Kuu kesi ya dhamana ya makosa makubwa

    Katika hukumu iliyotolewa leo tarehe 5 Agosti, 2020, Jopo la Majaji watano wa Mahakama ya Rufani limekubaliana na Serikali kuwa kifungu cha 148(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai ,Sura ya 20 ya Sheria za Tanzania kinachozuia dhamana kwa makosa makubwa ya jinai yakiwemo mauaji...
  7. ngoshwe

    Rufaa kupinga kufuta kifungu cha dhamana yasikilizwa

    MAHAKAMA YA RUFANI TANZANIA YASIKILIZA RUFAA YA SERIKALI KUPINGA UAMUZI WA MAHAKAMA KUU KUFUTA KIFUNGU CHA 148(5) CHA SHERIA YA MWENENDO WA MASHAURI YA JINAI KINACHOZUIA DHAMANA KWA BAADHI YA MAKOSA Jopo la Majaji Watano wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania likijumuisha Majaji Mhe. Jaji Mhe...
  8. ngoshwe

    Kesi dhidi ya kupinga ubunge wa Mwambe yatupiliwa mbali kwa mara ya pili

    Shauri la Kikatiba Na.12 la mwaka 2020 lililofunguliwa na Asasi ya Civic and Legal Aid Organization dhidi ya Mhe. Spika, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Cecil Mwambe ili kupinga ubunge wa Mwmbe imetupiliwa mbali Leo tarehe 15 Juni,2020 na Mahakama Kuu. Hii ni mara ya pili ambapo Mahakama Kuu...
  9. ngoshwe

    Mahakama Kuu Dar, imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Spika Ndugai kwa kumtambua Mwambe kama Mbunge baada ya Kujiuzulu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge. Mahakama Kuu kupitia...
  10. ngoshwe

    Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

    Hiyo mzee Mungu ana mwona. Deals zake ye mwenyewe zilizomtuliza sasa hasemi ya kina Rost tamu anadhani hazijulikani...akae kimya tu
Back
Top Bottom