Naomba kujua sababu ya tatizo la kizunguzungu

Isije kuwa unasumbuliwa na vertigo.

Amesema anapata tatizo la kizunguzungu kila anapofanya shughuli mbalimbali so inaweza kuwa Vertigo. Maana episodes za vertigo zinatokana na kulala/kuamka/kuinamisha kichwa e.t.c. kwa kingereza unaweza kusema inasababishwa na changes in head position, such as tipping the head up or down. Mimi imekuwa ikinitokea kwa miaka 6 sasa na bado haijapona ni kutibu symptoms na kupumzika pindi ikinisumbua. Nimekwenda hospital kadhaa ndani na nje ya nchi na wengi wanasema ni Benign paroxysmal positional vertigo(BPPV) Hakuna dawa labda operation ya sikio kubalance maji yanayopotea njia ambayo walipendekeza niifanye ikifikia level ya kujirudia kila wiki/mwezi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na kama MziziMkavu unaweza kutibu BPPV Vertigo nenda pale Apollo ya Hyderabad India ukapige pesa za kufa mtu maana siku 1 tulikuwepo wagonjwa zaidi ya 30 wenye tatizo la Vertigo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom