Naomba kujua dawa ya kichomi

Naomba kujua dawa ya kichomi

Kama haikuumizi sana tulia ikutandike itaisha yenyewe mimi nilishalishwa had majivu lakin wapi wa Tz waongo sana
 
Sababu ya kichomi huwa ni chumvi, usimwagie chumvi mbichi juu ya chakula ukiweza kuepuka Hilo kichomi kitabakia historia kwako, yaani ukiagiza mishikaki usinyunyizie chumvi Kwa juu, pia chips usifanye hivyo na vyakula vingine Kwa ujumla. Matokeo utaanza kuyaona baada ya wiki make kwenye damu bado Una chumvi nyingi Leo vumilia tu.
 
U

Umegongelea kwenye msumari na ndio tabia yangu hii mkuu na imenigharimu so huku nilipo ni mwendo wa kula nyama ya mbuzi mda wote na kuongeza chumvi sana
 
Habari za usiku wa jf usiku huu mwenzenu nashindwa kulala naombeni dawa ya kichomi ni dawa gani unitumie Maana sijawahi umwa kichomi hivi
Pole mkuu relax.. Akikisha unapata oxygen ya kutosha yaan jitahd kuvuta hewa, najua itakua kaz kwasabu ukivuta utahisi maumivu.. 😔
Then tafuta ampiclox na pain killer kama brufen kama hauna vidonda vya tumbo, (hii itasaidia kama ni imetokea kwasababu ya infections, na hizi dawa ni rahisi kuzipata OT, kwny hata duka la dawa kwa sasa..
Au tafuta aspirin.. Kama ni angina itasaidia.. 😔
 
Thanks kwa hili nipo nimekunywa dawa

Mojawapo ya hizo nilipofika hospital now nipo Sawa
 
Habari za usiku wa jf usiku huu mwenzenu nashindwa kulala naombeni dawa ya kichomi ni dawa gani unitumie Maana sijawahi umwa kichomi hivi
Kapime madonda tumbo hiyo nimoja yadalili zake pia acha kula. Vyakula kukobolewa punguza chumvi kunywa maji vuguvugu na toboa mayai mabichi meza ujiuji wake nakushauri kama nikama nivyofikiria huenda ukipima pressure ikawa ipo usikubali kutumia dawa zake kunywa maji mengi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom