Recent content by Ngosha ze Dong

  1. N

    SoC01 Kampeni ya utumie vyema ujana (U.V.U)

    "Fahari ya kijana ipo katika nguvu zake na uzuri wa mzee ni kichwa chenye mvi (Mithali 20:29)." Tambua kuwa ujana huishi katika maono na uzee katika kumbukumbu. Yote haya yako chini ya WAKATI. THAMANI YA WAKATI. WAKATI; Wakati uliumbwa kwenda mbele daima na si kumsubiri mtu. Na ukipita...
  2. N

    Mkataba wa pango ni lazima usainiwe na Wakili ili kukubalika kisheria?

    Aksante sana, kama mwanasheria kanigongea muhuri mkataba wangu Wa chumbani ila hajanipa EFD legal receipts.
  3. N

    Wenye matatizo haya sasa wanaweza kupata tiba kwa gharama nafuu sana

    Tatizo la nguvu za kiume lililosababishwa na kujichua kwa mda mrefu. Mfano kuwahi kufika kileleni ndani ya sekunde kadhaa,kutokuwa na uwezo wa kuunganisha tendo la ndoa baada ya bao la kwanza,kuchelewa kurudia tendo la ndoa baada ya bao la kwanza na kusinyaa kwa umme baada ya kufunga bao. Nataka...
  4. N

    Wenye matatizo haya sasa wanaweza kupata tiba kwa gharama nafuu sana

    Napenda kuuliza,kwa mtu aliyepga punyeto kwa mda mrefu zaid na ikawa inamtokea hali ya kufka mapema klelen na ktoweza kuungansha au krudia ndan ya mda mfupi,je,nn msaada wenu kwake ? Anaweza akapona au mnaushauri gan ? Nawasilisha.
  5. N

    Mpenzi Msafiri

    Big up sana
  6. N

    Tatizo la mtu kuongea peke yake: Fahamu visababishi na namna ya kutatua shida hii

    Hapana si dalili za uchizi wala uchizi wenyewe,bali ni fikra za mtu awazapo. Edward Sapir & Benjamin Whorf wataalam wa lugha wanazungumzia hili suala kupitia nadharia yao iitwayo SAPIR-WHORF HYPOTHESIS......DETERMINISM-OUR THINKING IS DETERMINED BY OUR LANGUAGES & RELATIVISM-DIFFERENT LANGUAGES...
  7. N

    Je, Kuna ulazima mke kumpa mme maji ya kuoga?

    Safi sana.....nakupongeza ndg,elimu ni leisure wala c lazma ktk maisha ya ndoa. Km ni profesa kwann ameolewa ? Kmbka,ndoa ni taaluma km taaluma zngne. Kwahyo mwanamke akiolew au mwanaume akioa,uprofesa wake pemben akifka kwake. Hakna cha brigedia jenerali kwa mme au mke. Na weng wanatumia...
  8. N

    Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    Mm nasumbuliw na fungus ya mdomo yan mdomo umekuw mwekundu km navuta sigara au pombe. Ni miaka 8 sasa cjapona. Nmeenda sana hosptalin napew na dawa lkn naona mambo ni yaleyale tu. Dalili zake ukila ktu chenye chumvi au pilipili mdomo unawasha hata ile rangi ya wekundu inaongezeka. Daktari naomba...
  9. N

    Msaada kuhusu aptitude tests

    Aptitude tests ni test za kupima uwezo wako wa kuelewa,kufanya ktu,n.k aptitude refers to the natural/innate ability a person have..... Kwa uelew wangu ndo ivo
  10. N

    Riwaya - Balaa

    Safi sana mtunz wa hii stor
  11. N

    Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

    Hata mm nmeshangaa sana kwasabab ya hoja zake. Mi nilijua atakuw mtu mwenye stand lkn anaangukia upande mmoja mara nyingi. Je hawez kja na hoja zake na zkaptshwa na serikal kufuata ushaur wake ? Anakuw anasema tu nalishaur bunge lako likubaliane na marekebsho ya serikali.....so what ? Is there...
  12. N

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Asante sana mkuu. Mungu akubariki zaidi na zaidi.
  13. N

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    nilienda kwa dokta akaniambia nina fungus wa mdomo na alisema wakikaa kwa muda mrefu tumbo nalo huweza kuathiriwa. Na kweli kuna mda tumbo lilikuwa linaunguruma na kuumwa chin ya ktovu lkn saiv halitokei. Sasa sikujua kama ni systemic fungus hakunambia. Na dawa alizonipa ni MICONAZOLE...
  14. N

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dr.naomba kujibiwa swali langu,nasumbuliw na fungus wa mdomoni yan umekuw mwekundu(mdomo wa chini) na nikila pilipili au mboga ya chumvi nyingi unazid kuw mwekundu na siku hizi kooni kuna washawasha nataman kuw nameza mate kla mara, halaf mikono na miguu ilianza kupooza km ganzi nmeenda...
  15. N

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dr.mm ninatatzo la mdomo wangu kuwa mwekundu(mdomo wa chini) na imenichukua mda ktoka mwaka 2007-leo. Ulianza kwa kuchanika lkn cku hiz haufanyi hivi. Na watu weng wamekuw wakiniuliza maswali mengi kama natumia pombe au sigara na mm vtu hiv ctumii. Nmeenda kwa madaktar wakaniambia ni fungus wa...
Back
Top Bottom