Recent content by ngosha mchele

  1. ngosha mchele

    Msaada: Nikiwaza jambo napata maumivu ya Kichwa

    Msaada, kila nikianza kufikiria Jambo fulani kwa undani zaidi nahisi maumivu makali ya Kichwa, zamani nilikua nikiwaza moyo unauma ila Sasa ni kichwa ndio kinauma. Ushauri please.
  2. ngosha mchele

    Kwanini baadhi ya Wanaume hawapati HIV?

    Ni kweli kwamba unaweza kupata dalili za HIV ukakaa zaidi ya mwaka na vipimo vikaonesha negative? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ngosha mchele

    Tambua: Matokeo yanaweza kuonyesha negative, lakini mtu akawa na HIV na kuambukiza zaidi kuliko mgonjwa wa zamani

    Kwa hiyo Kuna uwezekano kukaa miaka miwili ukawa na maambukizi na vipimo vikasoma Negative? Sababu haswa ni nini? Je, uwezo mdogo wa vipimo au nini shida Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ngosha mchele

    Ukipima HIV kipimo kikionyesha hivi, rudia kupima

    Vipimo hivi vinatoa majibu ya uhakika kweli,? Yenye maambukizi ya muda gani window period Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ngosha mchele

    Tatizo la miguu kuchemka

    Habari wataalam
  6. ngosha mchele

    VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Vipi mkuu maendeleo yako mpaka Sasa!? Na huo utando uliponea dawa gani!?
  7. ngosha mchele

    Niruhusu nikusaidie kutatua changamoto yako kiafya

    Dr. nisaidie nina mwaka sasa na miezi miwili toka nitembee na binti positive wa VVU toka kipindi hicho nimekua napata dalili tofauti tofauti kama ulimi kuwa mweupe, kichwa mwanzo kiliuma sana na presha ikapanda ila kwa sasa kimetulia, kuhisi kama mitoki. sasa nina tatizo la vipele kuwasha sana...
  8. ngosha mchele

    Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

    Natokewa na vipele mikononi,kwenye mapaja na makalioni vinawasha sana,nimecheki HIV test Negative, nini tatizo
  9. ngosha mchele

    Virusi vya ukimwi na ukimwi (insight) PART 1.

    Ok acha tusubiri topic ijayo
  10. ngosha mchele

    Nisaidieni nahisi nina ngoma

    Kamurakenge uko poa? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ngosha mchele

    Wagonjwa wanaacha kutumia dawa za ARV na kukimbilia kwenye maombi

    Vitunguu swaumu navyo ni Tiba au? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ngosha mchele

    Weka picha, maneno wataweka wengine

    Kante Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ngosha mchele

    Hospitali imeshindwa kutibia tatizo langu

    Ulichoma sindano gani mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ngosha mchele

    Naomna msaada, napata maumivu ya misuli ya shingo mabega na mgongo

    Pole sana mkuu,hujapata vipimo vyovyote!? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom