Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

Duuh... ama kweli kila mtu anaisoma namba kwa style yake. Wenzako hii miaka mitatu tumepungua uzito kwa speed ya 4G. Bila hata kwenda gym.
 
Dah mwenyewe tokea nimeacha mambo ya mapenzi nimeongezeka kilo asee nilikua na 68 mpaka saizi nakimbilia 80.

Inabidi nifanye usajili asee.
 
Light kama kungekuwa na uwezekano wa kuhamisha kilo kutoka mtu mmoja lwenda mwngn ningekuomba unipunguzie hata kg10 tu,.natamani sn kuongezeka lkn kila njia inafail
 
Kupungua uzito kwanza inabid ujijue why umeongezeka uzito ghafla. Kuna watu wengne wana nature ya miili minene, kuna koo za namna hii, yan wao wale san wasile san wakifikisha umri flan wanakuwa mabonge automatically na kuna wengne ni viceversa, hata wafanyeje miili haiongezeki ng'oo.

Km unene wako sio geneticaly inherited basi kutakuwa na other causes ambayo ww binafsi unaijua. Kwa hiyo ukishaijua hiyo cause basi change that habit na utapungua bila wasiwasi.

Nikupe mfano, mm mwshon mwa mwaka jana nilikuw na 74kg. Kufika July mwaka huu zikaongezeka mpk 78kg. Kwa hiyo nikawa najiona mzito san plus kakitambi uchwara. Nikaona hii hali hapana. Lkn nikawa najua kabsa hii imesababishwa nature ya kaz yangu. Nilikuw nakula vzr lkn kile nachokula hakifanyi kaz ipasavyo.

Hivyo nikaamua kupunguza mlo, nikiwa kazin asbh sinywi chai nakula lunch tuu basi. Na nikirudi home sili tena chakula kizito, either nakunywa chai ya maziwa tuu ama naongezea na bites yyte ya kudanganyia tumbo. Ndani ya mwezi nilipunguza kilo 4, na mpk sasa znaendelea kupungua, nina 73kg now.

Kazi kwako.
 
Hyo imekaaje ...unatumia kwa siku mara ngapi na kwa muda gani ...naomba ufafanue zaidi
Ngoja nikuambie ukweli unaokwepwa na watu wengi. Kupunguza uzito ni combination ya vitu viwili 1. Mazoezi 2. Diet. Ukifanya mazoezi ya nguvu na kuacha kula vyakula vya kunepepesha kwa wingi utapungua uzito. Kuna bondia anaitwa Tyson Fury kesho tarehe moja anapambana na Wilder.

Anakukuambia amepunguza kilo zaidi ya 50 kwa muda mfupi kwa kufanya mazoezi na kula milo sahihi. Usidanganyike: HAKUNA dawa za kupunguza uzito Narudia tena usidanganyike kuwa kuna mtu atakupa au kukuuzia dawa ya kupunguza uzito.

Utakuja kumeza madawa yenye madhara bure, na madhara yake utayaona baadae, si ajabu baada ya miaka kumi hata ishirini. Mazoezi yatosha.
 
Kama kuna dawa isiyokuwa na madhara iwe ya kienyeji au ya kizungu ningependa kutumia
Huna haja ya dawa hata mazoezi ya jogging kwa week mara 3,weight inapungua cos mi uzito huwa unafika 75 na ushusha 69-70 after 2 weeks tu....ukikomaa after one month utakuwa kawaida tu
 
Habari wakuu,poleni na majukumu naomba mwenye kujua jinsi ya kupunguza kilo ,mwanzoni nlikuwa na kilo 74 ila sasa zimeongezeka hadi 87,nlikuwa natamani nirudie kilo zangu za mwanzoni ,maana kwa hizi kilo najisikia mzito na magonjwa ya kila mara,nakiri sifanyi mazoezi kabisa na naelewa kilo ni kuhusu kupunguza calories intake daily.
My condition
Nlipo siwezi kusema naweza kujipikia misosi ya kupunguza wese kama kuna dawa isiyokuwa na madhara iwe ya kienyeji au ya kizungu ningependa kutumia
Mazozezi pia kula sana matunda wanga kidogo mimi nilikua na kg 94 sasa nipo 86 naitafuta 75
Kwenye issue za dawa utatapeliwa bure asilimia kubwa ya unene ama mafuta yanachangiwa na kula sana wanga na kazi hatufanyi za kututoa jasho so try kutengeneza ratiba ya kufanya mazoezi walau mara3 kwa week then punguza kula wanga zidisha matunda na jamii nyingine ya chakula kunywa maji mengi lazima utapungua
Ukifanikiwa uje uni pm
 
Ngoja nikuambie ukweli unaokwepwa na watu wengi. Kupunguza uzito ni combination ya vitu viwili 1. Mazoezi 2. Diet. Ukifanya mazoezi ya nguvu na kuacha kula vyakula vya kunepepesha kwa wingi utapungua uzito. Kuna bondia anaitwa Tyson Fury kesho tarehe moja anapambana na Wilder. Anakukuambia amepunguza kilo zaidi ya 50 kwa muda mfupi kwa kufanya mazoezi na kula milo sahihi. Usidanganyike: HAKUNA dawa za kupunguza uzito Narudia tena usidanganyike kuwa kuna mtu atakupa au kukuuzia dawa ya kupunguza uzito. Utakuja kumeza madawa yenye madhara bure, na madhara yake utayaona baadae, si ajabu baada ya miaka kumi hata ishirini. Mazoezi yatosha.
Yan umemaliza....mengineyo wanazunguka tu

I was 94 nilifanya mazoezi na kubadililisha diet in 3 months ilishuka mpaka 72

22 kgs

Nilifanya mazoezi kwa wastani wa siku 4 kwa wiki
40 min aerobic
20 min tumbo

Nikipata nafasi nitaelezea diet niliyotumia
 
Mkuu dawa hatari sana fanya diet na mazoezi tu utaona matokeo mm nilikuwa na kg 93 now nina 73 na nina mpango wa j3 tareh 3kuanza tena diet na nataka nfanye mazoezi niwe fiti na sasaivi napiga mpaka bao 5
 
Back
Top Bottom