Recent content by ngonyani

  1. ngonyani

    Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

    Mke wa Dr Omar Ali Juma
  2. ngonyani

    Tuseme ukweli hakuna kutoka povu Je Baba wa Taifa angekubali Samia na Mwinyi kuwa wagombea?

    Mwaka 1985 na mwaka 1990 mkutano mkuu wa ccm ulimpitisha mzee Ali Hassan Mwinyi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na upande wa Zanzibar Mzee Iddris Abdul wakeel akigombea urais wa zanzibar 1985 na dr salmin amour mwaka 1990.
  3. ngonyani

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Punguza ubaguzi ndugu Yussuf Juma Mwenda ni mtu wa Tanganyika amewahi kuwa meya wa Manispaa moja hapa Dar es salaam aliazimwa Zanzibar kwa kwenda kuisuka Mamlaka ya mapato ya huko visiwani tu sasa amerudi kwao.
  4. ngonyani

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Hii ni video ya mwaka 2017 nadhani ilishapita mijadala yake haina haja tena kuirudia watu wanaoendelea kuirusha wana nia ya kujenga chuki na kutia doa umoja wetu katika Muungano na kutaka kutonesha jeraha ambalo limeshapita katika Imani za dini zetu.
  5. ngonyani

    Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

    Mbona sasa mnatuchanganya tuliambiwa JK na ENL 1995 walikuwa na lengo moja la kuunda team ya kushinda Urais, sasa imekuwaje Lowassa awe na kinyongo Jina lake kutofika CC wakati swahiba wake alifika hadi tatu bora za 1995.
  6. ngonyani

    Siyo mara ya kwanza kwa CCM kumtumia mtu na kumtupa. John W. Malecela alitumika mpaka akajiita "Tingatinga"

    Mwaka 1985 wakati mwalimu nyerere anang'atuka madarakani na kuingia mzee Mwinyi malecela hakuwa na nguvu hiyo unayoisema na nafasi ya Waziri mkuu aliipata ndugu warioba.
  7. ngonyani

    Zanzibar wanatoa wapi mafuta, mbona bei zao ni tofauto na bara?

    Usisahau kama Mwinyi amekuja na mfumo wa kubana matumizi yasiyo ya lazima ya Serikali na kubana mianya ya uvujaji wa mapato kwa kukusanya kodi na tozo kwa mifumo ya kielkroniki, aidha Rais Mwinyi amekuwa Rais mwenye mawazo mapya kuliko watangulizi wake ameamua kuvikodisha visiwa ambavyo kwa...
  8. ngonyani

    TPA na ZPA sasa watakuwa Washindani halisi wa Kibiashara!

    ZPA ndio nini ? Zanzibar hadi Sasa hakuna Taasisi inayoitwa ZPA
  9. ngonyani

    Sigara "Clipper" aliyokuwa akivuta Mwalimu Nyerere miaka ya 1950's

    Miaka ya hamsini hadi 70's sigara ilikuwa fashion hasa kwa viongozi wasomi wa walati huo nakumbuka hata Rais wa awamu ya Pili ya Zanzibar sheikh Aboud Jumbe alikuwa anavuta sigara tena hadharani kabisa
  10. ngonyani

    Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

    Kitu gani ambacho Mama Samia amekifanya ambacho kinaonesha dalili za kuipa Zanzibar mamlaka kamili. .? ni ziara zake za mapumziko huko Zanzibar...? Kama ni hilo hata mwendazake alikuwa anatumia muda wa mapumziko kwenda Chato na hatukuwahi kusikia chato inataka kuwa Jamhuri ndani ya nchi yetu, au...
  11. ngonyani

    Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

    Kilichopunguza bei ya mafuta kwa Zanzibar ni kupunguza tozo na Serikali ya Zanzibar ku subsidies katika bei ya mafuta
  12. ngonyani

    Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

    Tutajie Kamishna gani wa Police Zanzibar ambae hakuwa muislam ..?
  13. ngonyani

    Sipati Picha Uhuru Kenyatta amfunge Raila Odinga then Afanye ziara Kisumu

    Anakusudia tuanze kufanya siasa za kikanda na za kikabila
Back
Top Bottom