Sipati Picha Uhuru Kenyatta amfunge Raila Odinga then Afanye ziara Kisumu

Sipati Picha Uhuru Kenyatta amfunge Raila Odinga then Afanye ziara Kisumu

Kwa hiyo pale anahudhuria hotelini?

Kwa hiyo Mbowe hashitakiwi?

Nyumbu mnakariri sana!
Mbowe ameshikiwa na Serikali, mahakama inasikiluza kesi yake tu ili kutoa uamuzi. Sasa mpumbavu kama unadhani Mbowe kashtakiwa na mahakama utakuwa umechelewa sana.
Hakuna pahala duniani ambapo mahakama inamshitaki mtu. Mahakamani lazima kuwe na mlalamikaji na mlalamikiwa. Mahakama inakuwa kati yao kutafuta suluhu
 
Hatari yake Ni kwamba itafika mahali uwezi kumove on kwenda sehemu nyingine ikiwa jamii yako au kabila lako limewahi kumshambuliaa mtu wao huu Ni ukabila mbaya sana sana.

Na ndicho kinawateza Kenya ukabila mkuu futa uzi wako kwa amani

Mimi mwaka Jana nilikuwa Morogoro Tena mjini pale nilienda kucheki gari yangu iliyo haribika wakati natafuta fundi nikampata mluguru walivyo jua mimi Ni mmasai walichukia sana kisa Ni kwamba wanasema wamasai wana roho mbaya sna na wakatili.

Niliwashangaa sana. Nikawambiwa Hawa wamasai siyo wa Arusha Ni wakitanga hawakunielewa waliniona mtu mkatili. Hakika hadi leo gari haijapona sijui mimi ila ukabila Ni mbaya sana ndugu zangu
Kwa maelezo yako huna ata baiskeli wewe kula kulala
 
Sipati Picha Mfano Uhuru Kenyatta wa Kenya amfunge Jera Raila Odinga then Uhuru afanye Ziara kule Kisumu au eneo la Nyanza.

Kenya wana utamaduni ambao uko nchi nyingi isipo kuwa Tanzania, Utamaduni wa Kila eneo kulianda kiongozi wao.

Tuwe wakwe hata Marekani kwenye Demokrasia ya kubwa Huwa yale maeneo waliko zaliwa wagombe Uraisi hasa wa vyama vya Democratic na Republican huwa wanaungwa mkono kwa asilimia 100

Kenya Mfano kule Eldoreti kwao William Ruto kule ni No go zone kwa viongozi wengine, Kisumu kule Raila Odinga ni sehemu ambayo wanaweza kumriwaza.

Mfano Raila Odinga afungwe Jela then kiongozi afanye Ziara kule Kisumu huo moto unaweza zimwa na vikosi vya UN.

Huku Tanzania tunashindwa kabisa ku pay lasr respect kwa Watoto wetu, Mfano Zitto anapaswa kupewa Heshimu kule Kigoma kwa sababu ni Mtoto wao. Au Makamu Wa Raisi anapaswa kupewa heshima kubwa kule kwao Kigoma pia.

Mbowe anapaswa kupewa heshima kubwa kule Kilimanjaro kwa sababu ni mtoto wao. Waziri Mkuu Majariwa anapaswa kupewa heshima ya kipekee kule Lindi kwao.

Eneo au ukanda anako tokea Kiongozi huwa ni eneo la mwisho la kumpa matumaini, au kumlinda na kadhalika.

Tanzania unashangaa Lipumba ana dhihakiwa kule kijijini kwao, au Mrema ana dhihakiwa Kijijini kwao au Zitto ana dhihakiwa kijijini kwao au Mbowe au kiongozi yoyote yule.

Ifike wakati Maeneo wanako toka viongozi yawe ni maeneo ya mwisho ya kuwapa viongozi hao matumaini haijalishi ni kiongozi kutoka Upinzani au tawala.

Moshi kule wanapaswa kuwa ndio sehemu ya Mwisho ya kumliwaza Mbowe.

Sehemu nyingi za Dunia hata nchi zenye Democrasia ya kutisha huwa wale viongozi wana kwao na kule kwao ndio huwa sehemu ya kumliwaza.
Laiti ungejua kwamba politics is nothing but a tool towards enslavement and domination.Yaani mnakomalia vitu ambavyo ni pure delusional and nonsensical.Kweli usichokijua ni usiku wa giza.

Utasema mbona siasa inafundishwa vyuoni?Hata mimi nimefundishwa siasa chuoni,lakini nilipojiongeza na kujua ukweli,nikajua kwamba ni hewa!Mtaamini ujinga hadi linii? Jiongezeni.Poleni sana.
 
Ujumbe wake ni kwamba Tanzania ni nchi ya ajabu sana.. Hangaya amemfunga Mbowe lakin bado anaenda kwa kina Mbowe na anapata mapokezi... nadhani umeelewa!
Kwa Mbowe ni wapi? Mbowe ana nchi yake? na Dar Es salaam anafanya nini? Acheni upopoma, mwenye nchi kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan.
 
Itoshe watu kukubali kwamba Wa Chagga wame continue kuliko makabila mengine huku Tanzania.
Wachagga hawana wakati na vijimambo visivyoleta maendeleo kwao.
Chama bora cha ushirika kilianzia kwao,walikuwa na printing press yao nyakati hizo na wamekuwa wakichapisha magazeti yao nk..nk

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimekaa Kenya na Kushiriki Chaguzi zao Mbili Live front line Hicho kitu HAKIWEZEKANI braza, yaani hata RAO aka Baba hata kuwekwa rumande Kenya au mahabusu haiwezekani na hakuna kituo cha polisi au mahakama inaweza accomodate kesi ya Odinga Kenya.

Kwahiyo mnataka tushabikie ukabila?
 
Ukabila hauna faida.
Kenya ni wahanga wa ukabila, wakenya wanatuonea wivu kwa mshikamano tulionao. Iweje tuige upuuzi wao!!
 
Tamasha halijaandaliwa na wachaga tumeshaambiwa. Ni kikundi cha CCM kimejikusanya kikajiita wachaga for the interest best known to them. Na bila shaka kulikuwa na pecuniary handouts kwa waliojumuika ili ionekane ni shughuli ya wachaga kweli kumbe fake. CCM mlikofika mtakuja kuchinja wanenu kwa drama zenu za ajabu.
Naunga hoja mkono
 
Futa Kauli yako,Kiongozi wa Chama ambaye pia amewahi kuwa Mgombea wa Urais kamwe hawezi kuwa Muhuni,na Kama kweli ni Muhuni maana yake Mamlaka zenu za Uongozi hazina Macho ya kubaini Wahuni na huo ni Udhaifu mkubwa Sana katika Nchi.
Uhuni tabia tu mtu anaweza badilka mda wowote hatakama amewahi kugombea uraisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipati Picha Mfano Uhuru Kenyatta wa Kenya amfunge Jela Raila Odinga then Uhuru afanye Ziara kule Kisumu au eneo la Nyanza.

Kenya wana utamaduni ambao uko nchi nyingi isipokuwa Tanzania, Utamaduni wa Kila eneo kulianda kiongozi wao.

Tuwe wakweli hata Marekani kwenye Demokrasia ya kubwa Huwa yale maeneo waliko zaliwa wagombe Uraisi hasa wa vyama vya Democratic na Republican huwa wanaungwa mkono kwa asilimia 100

Kenya Mfano kule Eldoreti kwao William Ruto kule ni No go zone kwa viongozi wengine, Kisumu kule Raila Odinga ni sehemu ambayo wanaweza kumriwaza.

Mfano Raila Odinga afungwe Jela then kiongozi afanye Ziara kule Kisumu huo moto unaweza zimwa na vikosi vya UN.

Huku Tanzania tunashindwa kabisa ku pay lasr respect kwa Watoto wetu, Mfano Zitto anapaswa kupewa Heshimu kule Kigoma kwa sababu ni Mtoto wao. Au Makamu Wa Raisi anapaswa kupewa heshima kubwa kule kwao Kigoma pia.

Mbowe anapaswa kupewa heshima kubwa kule Kilimanjaro kwa sababu ni mtoto wao. Waziri Mkuu Majariwa anapaswa kupewa heshima ya kipekee kule Lindi kwao.

Eneo au ukanda anako tokea Kiongozi huwa ni eneo la mwisho la kumpa matumaini, au kumlinda na kadhalika.

Tanzania unashangaa Lipumba ana dhihakiwa kule kijijini kwao, au Mrema ana dhihakiwa Kijijini kwao au Zitto ana dhihakiwa kijijini kwao au Mbowe au kiongozi yoyote yule.

Ifike wakati Maeneo wanako toka viongozi yawe ni maeneo ya mwisho ya kuwapa viongozi hao matumaini haijalishi ni kiongozi kutoka Upinzani au tawala.

Moshi kule wanapaswa kuwa ndio sehemu ya Mwisho ya kumliwaza Mbowe.

Sehemu nyingi za Dunia hata nchi zenye Democrasia ya kutisha huwa wale viongozi wana kwao na kule kwao ndio huwa sehemu ya kumliwaza.
Kwa huu Uzi wako wewe sio Mtanzania!
 
Back
Top Bottom