Recent content by Ngongongare

  1. Ngongongare

    Arsenal kaniacha na Tsh 630,000

    Uko na uthibitisho apo tuone
  2. Ngongongare

    Nani aliwahi kuisikia sauti ya huyu jamaa?

    Fisi maji remember the name
  3. Ngongongare

    Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

    [emoji24][emoji24][emoji24] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Ngongongare

    TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

    May his soul rest in eternal peace[emoji120][emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Ngongongare

    Eid Mubaarak kwa waislaam wote duniani

    Kwa hiyo kesho ni Eid pili?
  6. Ngongongare

    Wanajeshi wanaosomba korosho kusini hawafuati sheria za barabarani.

    Hiyo ni operation tofautisha na shughuli au sheria za kiraia kidogo kwa mfano operation haina gate ya ukaguzi, mizani wala kibao cha 50 kwa hiyo muizoee[emoji120][emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Ngongongare

    Hali bado ni tete kwa Wakulima wa Korosho

    Una korosho? Umepima chama gani cha msingi? Unaposema hali ni tete kwako au kwa wakulima wote wa korosho?Wewe ni msemaji wa wawakulima? Good news ni kwamba kila aliyepima korosho amelipwa kupitia akaunti yake na ni siri ya mtu unachokisema na uhalisia are quite differ watu wanalipwa kila uchwao...
  8. Ngongongare

    Naitisha mgomo kupinga kikokotoo cha JPM kinachokausha mifuko, serikali irejeshe kwanza madeni.

    Walisema haijai sasa inamwagika kuna watu wanapenda wananchi wateseke for their own interest Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ngongongare

    Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

    Concept yake ni kwamba kafika Mwanza ameyataja mengi ambayo hata mimi niliyaona nilipofika Dar kama uchafu,Stand ya ovyo ya mikoani kama Ubungo,Mbagala rangi tatu pia kuhusu uchafu ndio usiseme [emoji120][emoji41]
  10. Ngongongare

    Tanzania sio Mwanza pekee Rais Magufuli!

    Mulemola.....tujage duu baba
  11. Ngongongare

    Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

    Wamefanya vizuri sana TAMISEMI maana ukiritimba ulikuwa mkubwa sana watu kubadili vituo hovyo hovyo mlundikano wa watumishi wengibshule moja hususani mijini au barabarani sasa naona wamelenga #Ngarenayuki na peripheral of the peripheral
  12. Ngongongare

    Dar imeungana na mikoa mingine kuitwa "mkoani"

    Dar itabaki kuwa Dar kumbuka ni culture ya Pwani dio inakiki kama kg1 kuliwa ba watu sita,kushindia juice ya ukwaju au miwa
Back
Top Bottom