Uchaguzi wa Marudio wa Ubunge majimbo ya Kinondoni na Siha, Udiwani Kata 8: CCM yanyakua majimbo yote!

Kwani kabla ya kupewa barua ya kiapo si wanakuwa wamejihakikishia tayari kwamba wewe ni mTanzania na ndio maana ukapewa? Barua hutolewa kama ishara ya kutimiza matakwa yote yaan Uraia, umri, nk.nk..., waache ushenzi, hakuna sherianya hivyo!
 
Nahisi kweli yule baba atakuwa hakuzaliwa kwenye familia yetu. Mbona tabia zake zote zinafanana na baba yule mwenye kanyumba kadogo ila kazaa watoto wengi.
Nasikia hata jina lake hili ni a. k. a tu si jina lake halisi.
 
NIMESEMA WANGESHINDA CHADEMA NYUMBA ZANGU NINGEKUWA OFISI ZAO
NA MM NINGEHAMIA ZIMBABWE..SHIKAMOO HON MT

Wangeshinda CHADEMA jimbo la Kinondoni, leo kusingepitika. Hii ni dhahiri, kwani hata wakati wa kampeni hali ilikuwa hivi:
 
Jana alisema pamoja na mawakala wetu kupewa barua za viapo zinazowaruhusu kusimamia kura, lakini leo watadaiwa vitambulisho vya taifa ili wazuiwe kuingia vituoni. Wakiwa wamezuiwa huko ndani kura zitakuwa zinaendelea kupigwa na itatumika nafasi hiyo kuongeza kura "fake" kwenye masanduku.

Na hakika ndicho kilichotokea. Yani ni kama vile Mange alikuwa kwenye kikao kilichopanga huo mpango. Baadhi ya vituo vya uchaguzi mawakala wetu wamezuiwa. Kuna baadhi ya vituo wameruhusiwa kuingia na baadhi wamezuiwa. Eti wanatakiwa kuwa na vitambulisho vya taifa au passport ya kusafiria ili kutambua kama ni watanzania kweli.

Hii picha nimepiga kata ya Kigogo. Hawa ni mawakala wa Chadema wamezuiwa kuingia vituoni. Wanazo barua za viapo zinazowaruhusu kuingia vituoni lakini wamezuiwa eti hawana vitambulisho vya taifa wala passport. Hakuna popote Sheria ya Uchaguzi Namba 11 ya mwaka 1984 inapohitaji wakala awe na kitambulisho cha taifa wala passport. Barua ya kiapo tu inatosha. Na chaguzi zote zilizowahi kufanyika utaratibu ulikua huo. Ila from no where leo limeongezwa sharti jipya la kuwa na vitambulisho vya taifa au passport. Sharti ambalo halipo kisheria.

Ajabu ni kuwa polisi ndio wanaotumika kufanya dhuluma hii. Polisi ambao kisheria hawapaswi kabisa kujihusisha na uchaguzi zaidi ya kusimamia amani na utulivu wakati wa upigaji kura. Lakini hapa Kigogo polisi ndio wamegeuka maafisa wa tume ya uchaguzi na kuanza kukagua vitambulisho kwa mawakala. Polisi haohao wamewazuia mawakala wa Chadema wasiiingie vituoni huku wa CCM wakiwa ndani tangu saa moja asubuhi. Hatujui nini kinaendelea huko ndani.

Zoezi la kupiga kura linaendelea kama kawaida na mawakala wetu wapo nje hadi muda huu hawajui hatma yao. Wamezuiwa na mitutu ya bunduki kuingia ndani. Ooooh GOD.!!
66e34d58dfa8f8af4e4258eaea655951.jpg
Kama una AKILI, Utatambua kuwa Mange kawazidi bavicha hatua moja mbele kwenye kufikiri. Ni wazi kabisa Mange anajua nini kinatakiwa ili mawakala waruhusiwe kuingia, na yeye Mange alipoona wamepewa barua za viapo tu ila vitambulisho hawana, ni "GENIUS" akajua kinachofuata ila akaamua kujifanya nabii acheze na akili za bavicha, na amecheza nazo kama alivyotaka.
 
Kwani kabla ya kupewa barua ya kiapo si wanakuwa wamejihakikishia tayari kwamba wewe ni mTanzania na ndio maana ukapewa? Barua hutolewa kama ishara ya kutimiza matakwa yote yaan Uraia, umri, nk.nk..., waache ushenzi, hakuna sherianya hivyo!
Mi ningekuwa wakala wa chadema nimekula kiapo halafu unanizuia nisiingie kusimamia kazi niliyolia kiapo, walaih saa hizi mngesikia maiti mwingine kaongezeka. Maana wangenimiminia risasi mpaka magazin ziishiwe risasi. maana kichwa changu hakina uvumilivu katika mambo ya kijinga kama haya.Halafu wanaitangazia dunia kuwa magufuli anakubalika, ccm kinakubalika sana Tz, wakati wanapata matokeo kwa kutumia nguvu za risasi na marungu.
Kwani kabla ya kupewa barua ya kiapo si wanakuwa wamejihakikishia tayari kwamba wewe ni mTanzania na ndio maana ukapewa? Barua hutolewa kama ishara ya kutimiza matakwa yote yaan Uraia, umri, nk.nk..., waache ushenzi, hakuna sherianya hivyo!
 
Mi ningekuwa wakala wa chadema nimekula kiapo halafu unanizuia nisiingie kusimamia kazi niliyolia kiapo, walaih saa hizi mngesikia maiti mwingine kaongezeka. Maana wangenimiminia risasa mpaka magazin ziishiwe risasa. maana kichwa changu hakina uvumilivu katika mambo ya kijinga kama haya.Halafu wanaitangazia dunia kuwa magufuli anakubalika, ccm kinakubalika sana Tz, wakati wanapata matokeo kwa kutumia nguvu za risasa na marungu.
Mzee wa KEYBOARD, nakuona doing what you do best!
 
Mange huwa habahatishi kutoa taarifa
Kwasbb huwa anatonywa mapema saana na watu wasiojulikana,kuwa kutatokea hivi na vile
Huku wakimalizia kuandika “HIDE MY ID”
 
Back
Top Bottom