Kwasababu anajua Masheikh wengi wanapenda Tende na wale Kondoo wa sadaka.
Kama lipo tusi ambalo limeelekezwa kwa Waislam hakuna kubwa kuliko hili.
Kwanini isiwe Shule,Hospitals,Chuo.....
Heshima kwenu wanajamvi.
Sasa ni wazi Dangote kaamua kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu,Kenya.
Tanzania tuko busy kupambana na siasa mbovu.
Siasa zetu za ndani hazivutii uwekezaji mkubwa,labda kuuza au kukodisha Bandari au uendeshaji wa mwendokasi.
Tayari Dangote keshatujua ndani nje...
Kwanza hapakuwa na sababu za kutukana kisa nina mtazamo tofauti na wako.
Huu ni ushamba na upimbi.
Mwl Nyerere alitumia rasilimali nyingi sana kupigania uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika.
Leo waTanganyika wengi wamerejeshwa nyumbani wazawa,wenyeji hawaturaki hawataki kugawana fursa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.