Recent content by ngoko

  1. N

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

    everlenk, ikitokea hivyo tutapendekeza kura ya wazi kufikia mwafaka, hiyo ndo itatuvusha .
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mrema: Kura ya siri ni unafiki

    ile ya ubunge ; ya uenyekiti wa TLP hiyo sijui maana sijawahi kusoma maelekezo ya katiba ya TLP kuhusu uchaguzi wa viongozi wake
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mrema: Kura ya siri ni unafiki

    Ringo Edmund, isiishie kwenye maoni tu , bali iwe ndo mwongozo wa kikatiba kwa chaguzi zote zitakazofuata baada ya katiba mpya kuanza kutumika
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mrema: Kura ya siri ni unafiki

    SaidSabke, Kwa mtazamo huo waweke kipengele kwenye katiba kuelekeza mambo yote yenye kugusa mstakabali wa nchi yaamuliwe kwa kura za wazi ( mf. uchaguzi wa Rais na wabunge) ili wananchi waone wazi kinachoendelea.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mrema: Kura ya siri ni unafiki

    Alichaguliwa kwa kura ya unafiki.
  6. N

    JamiiForums Tanzania wala hawana wasiwasi

    Labda atokee Katibu mkuu wa chamaa utaona kwa heshima na taadhima wanatokomea mmoja mmoja kwenda kusikojulikana
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Arusha afukuzwa soko kuu la Arusha kwa nyanya

    Kwa mwendo huu tutashuhudia siku moja anatupiwa mayayi mabovu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Hapa ndo tatizo linapoanzia, kama freq. ikizidi ( i.e. kila mkikutana unataka ya Pedi ?? etc ) kwa nini asianze ku sense tatizo ... Hayo ni mawazo yangu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna wanyama waliotoroshwa

    Nami naunga mkono hawakutoroshwa bali wahusika walikuwa na baraka zote za mamlaka zinazohusika, ndo maana hata KIA waliweza kuondoka bila tatizo -
  10. N

    JamiiForums Tanzania JF EXCLUSIVE: DOWANS vs TANESCO, the saga continues!

    Kakalende, Matapeli wakati wote huwa wanaangalia upepo unavyoenda nakuhakikisha wamejiweka usawa wa kutopoteza walicho ki target , hii ni pamoja na kutumia vifungu vya sheria kuweka sawa mambo ili yawe kisheria zaidi kuliko kitapeli.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge kuuziwa nyumba wakijadili bajeti ya nyumba/ardhi, hongo?

    MJ usishangae huo ndo mfumo wenyewe na unabaraka zote za angalau 2/3 kama siyo 3/3 ya mihimili unayoijua.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete yupo nchini?

    Anashughulikia matatizo ya somalia ili meli za mafuta zipite salama kwenye gulf ya Aden . Haya madogo madogo ametuma watendaji wake wayashughulikie taarifa ya utekelezaji atapelekewa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Livinga, heri mi TZ iteseke lakini midege iruke maana isiporuka ratiba za ziara ya mwenye nyumba zitaharibika ambazo zina faidi kubwa kwa nchi ( am not sure kama ni kwa walala hoi)
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Madcheda, Hujui kama maandamano yanayoitishwa na chadema yalisababisha viongozi waseme cdm wanataka nchi isitawalike na kwa sasa nia ya kurekebisha sheria ya maandamano imewekwa wazi kwa mwanvuli wa kuwasaidia wanachi waeze kufanya shughuli zao bila bughudha. However, hiyo nia ya watawala...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    Hapo utasababisha awe anashinda magogoni ( Mahoteli yatapata hasara huko nje)
Back
Top Bottom