Recent content by Ngodu

  1. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la koo kuwasha

    Asante sana kwa ushauri mkuu!.
  2. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la koo kuwasha

    Wanajamvi mimi naomba ushauri kupitia ukurasa huu wa doctor, usiku nikianza kusinzia au nikikaanga kitunguu, yaani koo linawasha natamani kujikuna na kidole ila siwezi. Naomba ushauri na tiba tafadhalini.
  3. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Mambo wake wanatakiwa kujua ili wa-enjoy na waume zao

    Amazing facts
  4. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Ubelgiji: Upasuaji mkubwa wa mguu wa Tundu Lissu, umemalizika salama kwa mafanikio makubwa

    Mungu ni Mungu, mambo yake hayachunguziki hata kidogo, atatoka tuu tena mwenye afya njema kabisa. Mungu aendelee kumhudumia tuu.
  5. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Tuifikirie kwa umakini taarifa ya Polisi kuhusu Abdul Nondo

    Mi katika mazungumzo yooote haya,, sijaskia kauli ya Nondo hata neno moja, naskia tuu upande wa dola ndio wanatiririka, Nuru iko Karibu kutuzukia nchini, tusichoke kuombeana watanzania.
  6. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi smart kichwani, hawako romantic?

    Duu! ..pole mazee.
  7. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi smart kichwani, hawako romantic?

    Mara nyingi huwa wamejaza mafile kichwani, hawana time na maniaje kabisa.
  8. Ngodu

    JamiiForums Tanzania TAHLISO ya sasa ni kikundi cha umoja wa vijana wa CCM vyuo vikuu, hawana kazi zaidi ya kuipongeza Serikali

    Ee Mungu tufumbue macho watanzania .
  9. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kuwainua vijana kuwa wajasiriamali wakubwa

    http://jamiiforums.com/?refcode=86266
  10. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    http://jamiiforums.com/?refcode=86266
  11. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Kuwadhibiti Trafic dhidi ya Rushwa na Wizi Sheria ya Ulipaji Ifuatwe

    Hivi mbona cku izi traffic wengi hawavai tag namba zao za utambulisho??. Sasa hapa utamtambuaje kama huyu ni traffic kweli au sio?. Je?,hio ni sahihi kufanya kazi bila utambulisho. Tafadhali wahusika walifanyie kazi.
  12. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania, huu ni wizi

    Hii Airtel TV ndo nini mbona haifanyi kazi hata uwe na bundle??. Nimenunua kifurushi cha ck mara mbili lakini hata channel moja haijacheza whyyyy!!!.
  13. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Hapa hamna majibu ni maarifa tu nafkiri
  14. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mbona hamjibu maswali??, huku mnasema mnatafuta wateja mko serious kweli!!!!.
  15. Ngodu

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mi nataka kutumia USB DVB TV TUNER kwenye laptop/tablet nafanyaje??, kama ni kulipia nalipiaje maana channels zote ziko locked except ST Guide ndo inanyesha?. Msaada tafadhali.
Back
Top Bottom