TAHLISO ya sasa ni kikundi cha umoja wa vijana wa CCM vyuo vikuu, hawana kazi zaidi ya kuipongeza Serikali

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Hiki kikundi nikikifananisha na enzi zetu ambapo TAHLISO ilikua imejawa na vijana werevu wenye kuhoji,kukemea na kutatua matatizo ya wanafuzi wenzao pale wapatapo matatizo yaani nakosa jibu kabisa.Hii ya sasa ni kikundi cha vijana wachache wa CCM wanaojali maslahi yao kwa kuahidiwa vyeo na ajira baada ya kumaliza masomo.

Sitaki kuamini kua kuna mwanafuzi mwenzo amepotea na hajulikani alipo huku wao kama taasisi ya kutetea haki na maslahi ya wanafunzi wako kimya, kua ametekwa? Ameuawa? Amefichwa? au ameumizwa ni nani anayelijua hilo?Yaani hakuna anayejitokeza na kuhoji. Huu ni usaliti mbaya sana na hawa wanaosaka vyeo na kujipendekeza iko siku watatambua ni nini thamani ya utu zaidi ya vyeo.

Usishangae kesho wakajitokeza na kudai viachwe vyombo vya usalama vifanye kazi yake, huwezi kiwasikia wakikemea hali hii wala kutoa angalizo zaidi watajifanya kuwaomba wanafunzi wenzao wawe watulivu wakati vyombo vya usalama vinalishughulikia hilo. Kwakua walikua hawampendi bwanamdogo Abdul Nondo basi hawana shida nae.Hii ni zaidi ya hatari.

Hongereni CCM kwa kufanikiwa kuweka mapandikizi yenu kwa kila chuo ili kuzima harakati za wanafunzi kudai haki zao, kwa hili mmefanikiwa. Mmeweza TUCTA, CWT,MAT na mashirikisho mengine na sasa huwezi kkusikia kuna kiongozi ana anapingana na chama chake.
 
Njaa!
 
Kwa kweli. Inawezekana vipi mwanafunzi kauawaa na polisi, mwanafunzi mtetea haki za wanafunzi wenzake kapotea, lkn wao wapo kimya tu??
 
We ndo fala kweli. Yaani ukiiponda serikali basi ndp mwelevu na ukiisapoti basi we huna akili. Hakika we utakuwa kima
 
Back
Top Bottom