Recent content by nginaeli

  1. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Sikonge-Tabora tubadilishane kwenda Mwanza,Tanga,Kilimanjaro,Arusha,Pwani, Dodoma ,Morogoro.intereseted PM me
  2. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo Sikonge Tabora karibu sana na rukwa PM me if ur ready
  3. N

    Kurudishwa payroll ya Serikali

    mimi niliandika barua ya kuacha kazi kabisa nikajibiwa nikitaka kurudi itakuwaje wapendwa
  4. N

    Dawa ya meno

    Naumwa sana meno jamani na hii baridi ndo balaa nashindwa hata kutoka ndani sitaki kungoa please ushauri wa dawa tafadhali.
  5. N

    for single fathers only

    namtafutia rafik yangu mme ni dada mcha mungu ,black beuty, umbo zuri mnene kiasi,mama wa mtoto mmoja, nimekuwa nae kwa muda mrefu hana mtu katika kumchunguza akaniambia anataman sana ila atleast atakaye mpata awe na yeye ana mtoto nikamuuliza unataka wa aina gan hasa akasema awe mcha mungu awe...
  6. N

    Anataka mwanae

    najua na nauthamin upendo na utu wake kwangu thats why niliogopa kumwambia kwa kuogopa kumuumiza ,naahid kuongea nae ndan ya wk hii itanibid niandae mazingira coz sio kitu kidogo hich naomba mungu anielewe natufikie gud solution asante kwa maombi may god bless u
  7. N

    Anataka mwanae

    acha tuu dada najua na nauthamin upendo na utu wa my hubby amefanya zaid ya alivyotakia kufanya thanks to god kwa kunipa mume wa namna hii nilihofia kumwambia kuhusu usumbufu wa huyo hayawan kwa kuogopa kumuumiza ila kutokana na ushaur niliopata humu itanibid niongee nae kila kitu kuhusu huyo...
  8. N

    Anataka mwanae

    i cant imagine my hubby atasema nn ila niataongea nae
  9. N

    Anataka mwanae

    sina uhusiano wowote na huyo mwanaume hata hisia kwake ziliisha siku nyingi namba yangu nimebadilisha zaid ya mara mbili bado anaipata sijui anaipata wap nimeagiza hata security guards wasimruhusu kuja ofisin kwangu tena,mume wangu nilihofia kumwambia kwa kuhofia machungu atakayoyapata baada ya...
  10. N

    Anataka mwanae

    sina uhusiano wowote na huyo mwanaume hata hisia kwake ziliisha siku nyingi namba yangu nimebadilisha zaid ya mara mbili bado anaipata sijui anaipata wap nimeagiza hata security guards wasimruhusu kuja ofisin kwangu tena,mume wangu nilihofia kumwambia kwa kuhofia machungu atakayoyapata baada ya...
  11. N

    Anataka mwanae

    mtoto ana miaka mitano,mi ni adminstrator manager kwenye kampun binafsi, ana uwezo ila nahofia image yangu kwenye public pi maumivu kwa mme wangu aliyenipokea wakat wa shida nakunifarij
  12. N

    Anataka mwanae

    kinachoniuma hakujua ni damu yeke akamkataa nimkabidhi mtoto kwa complete stranger kwel mtoto ana miaka 5 leo nimlete mtu mpya ni mwambie huyu ndeye babaako namuhurumia mwanangu he used to know mume wangu ndiye babaake
  13. N

    Anataka mwanae

    hi jf mi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29 nikiwa na miaka 24 nilikwa na mahusiano na kijana mmoja nikapata ujauzito lakin yule kijana alikataa niliendelea na maisha kwa mda huo nilikuwa naplan za kuanza kusoma masters so nilianza chuo na mimba ya miezi miwili pale chuo nilikutana na mwanaume...
  14. N

    nimechoka

    saf sana dada umeonyesha wanawake tunaweza mbona wanaume huwa wanatuacha tunakubali hatunganganiii
  15. N

    Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

    wote wanataka kuzipiga syiria
Back
Top Bottom