Recent content by NGIMBER

  1. NGIMBER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi anahitajika ikipendeza tujenge familia.

    Kama ni kutongoza tu sihitaji kupiga bapa mkuu ni uso mkavu tu natiririka verse bila shida yeyote.
  2. NGIMBER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi anahitajika ikipendeza tujenge familia.

    Mimi ni Me mkuu.
  3. NGIMBER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi anahitajika ikipendeza tujenge familia.

    Haha mkuu acha tupanue wigo tuone Ila ni changamoto sana.
  4. NGIMBER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi anahitajika ikipendeza tujenge familia.

    Naomba nitag kama utaweza mkuu.
  5. NGIMBER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi anahitajika ikipendeza tujenge familia.

    Mkuu joseverest kitambo sana.
  6. NGIMBER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi anahitajika ikipendeza tujenge familia.

    Jinsia Me: Miaka yangu 32, Elimu degree ya kwanza.Ninaishi Dar Kigamboni dini mkristo. Ajira binafsi Ninahitaji mpenzi/mchumba awe mkristo (muhimu sana) Miaka kuanzia 26-30 na mwenye shughuli ya kufanya( for a living) Sio mweusi sana na asijichubue Mwenye sifa karibu Pm tuyajenge.
  7. NGIMBER

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Pajero inauzwa 13M

    Gari bado ipo wakuu changamkia ofa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. NGIMBER

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Pajero inauzwa 13M

    Mkuu unauzoefu na hizi gari? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. NGIMBER

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Pajero inauzwa 13M

    Hahaa kwanini mzee? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. NGIMBER

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Pajero inauzwa 13M

    Mitsubishi Pajero model ya 2004. Registered in 2014. Iko katika hali nzuri Inamilikiwa na kampuni binafsi. Gari inashida kidogo na gear box ila inatembea vizuri. Nipigie 0754847678 au watsapp. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. NGIMBER

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutag

    kikiboxer
  12. NGIMBER

    JamiiForums Tanzania Tabora wanahitaji msukumo wa ziada kiuchumi

    Mboka manyema kwakweli bado iko hoi na imani za kishirikina ni kubwa sana miongoni mwa wenyeji.
  13. NGIMBER

    JamiiForums Tanzania Je, sterling naye atajisalimisha na kufuta kesi aliyoifungua?

    Muda utaongea mpaka ifike may mwakani tutajua tu.
  14. NGIMBER

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

    Ubunge ni cheo cha kisiasa hii ni professional yake kuna shida akifanya?
  15. NGIMBER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliyojiapiza kutoyafanya ukubwani yote yamenishinda. Hadi sasa nimeyafanya yote kasoro moja tu

    Tupe experience mkuu ni kwanini unajuta!?
Back
Top Bottom