Recent content by ngika

  1. N

    JamiiForums Tanzania Walimu Mkoa wa Arusha Wamtaka Lowassa Agombee Urais

    Bila ubishi Mhe LOWASA ana sifa za kuongoza kitaifa na kimataifa. Mimi naahidi kumtolea milioni moja ya kuchukua fomu ya kugombea URAIS ndani ya chama kubwa CCM
  2. N

    JamiiForums Tanzania Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Majungu na chuki binafsi tuache. Lowasa sifa za kuwa kiongozi wa juu kitaifa na kimataifa.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli akagua barabara km 359 na ujenzi nyumba ya mkuu wa Wilaya ya Mlele

    Nyumba ziliuzwa na baraza la mawaziri na si magufuli. Tujenge hoja kwa kuangalia historia ya jambo na mtiririko wa maamuzi ndani ya dola
  4. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli akagua barabara km 359 na ujenzi nyumba ya mkuu wa Wilaya ya Mlele

    Magufuli ndo anafaa kuwa mrithi wa Mhe Kikwete
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2015, Lowassa kumbana Nape

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia mijadala juu nani atakuwa rais baada ya jk kumaliza muda wake. Nashangazwa na shutuma zisizo na ushahidi ambazo zimekuwa zikitolewa dhidi ya lowasa, naomba tuache chuki na tujadili sifa za kiongozi na jina litokane na sifa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

    Hitaji la watanzania si serikali 4 au 5. Wananchi wanahitaji amani, haki na usawa. serikali itakayokomesha ufisadi, dhuluma,udini, ukabila na matabaka ndio hasa wanayohitaji watu wa nchi hii hata kama itakuwa ni serikali moja.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Miaka 52 baada ya uhuru: Tunahitaji mdahalo wa wazi kuhusu mgawanyo wa fursa na raslimali za taifa

    Kwa haraka haraka hoja hii yaweza chukuliwa kama ukabila lakini kuna manung,uniko kwa baadhi ya watanzania kuwa raslimali za taifa tokea uhuru zimeendelea kuwa chini ya wachaga ,wahaya na wanyakyusa na huku jamii zingine kama maasai na wengineo wameendelea kuwa na thamani sawa na wanyama wa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Miaka 52 baada ya uhuru tujadili kwa upana uwiano wa kugawana fursa na raslimali za nchi za nchi

    Inaweza elezwa au kuonekana kama ni ukabila au hata ubaguzi lakini tayari kuna minong'ono na manung'uniko kwa watanzania kuwa tokea uhuru na hadi sasa raslimali na fursa za nchi hii zimeendelea kuwa chini ya makabila machache tu ya nchi hii, na hasa WACHAGA, WAHAYA na WANYAKYUSA. Baadhi ya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ole Medeye atangaza vita na wachaga asema watang'oka Arusha

    Hoja iliyo ndani ya mjadala huo ni mgawanyo ulio sawa wa raslimali za taifa. miaka 52 baada ya uhuru tanzania imebakia chini ya wachaga,wahaya na wanyakyusa. hakuna ukabila hapo ila ni suala la maslahi kwa kila mmoja. mjadala wa wazi juu manufaa ya raslimali za taifa kwa kila mtanzania ni mhimu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Likizo na Pasi Zasitishwa JWTZ. Waliokuwa likizo waitwa warudi kambini

    Nashauri kwa upendo kabisa na uzalendo wa hali ya juu kwamba kuna baadhi ya habari si za kuanika humu, maana hujui adui zako nao wakizisoma watafanya nini, suala la vita ni nyeti sana na hivyo tuwe makini na tunayoweka humu.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Ask. Moses Kulola kwa Watanzania: Tuchague Rais kwa Kigezo cha Sifa Zake na sio Dini yake!

    RIP Shujaa wa karne Mzee Kulola:" awarudisha wanadamu mavumbini asemapo ruduni enyi wanadamu"
  12. N

    JamiiForums Tanzania PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Wakati watanzania munatumia muda mwingi kujadili uccm na uchadema, jirani yenu kagame yupo israel kwa sasa, tafakarini undani wa ziara, pia msisahau kuwa mseveni na yule mama wa kimalawi hawapo nanyi. Ipo haja kama taifa kujipanga sawasawa na kuwa na uzalendo wa hali ya juu. Mijadala isiyo na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mhe. Andrew Chenge 'ameipa kubwa' serikali kuhusu kukopa pesa na kuishia kusiko julikana!

    Tujadili hoja na si jina la mtu. hoja hiyo ni nzuri na wala haiifungi serikali kuwawajibisha wezi hata kama itamugusa hata mtoa hoja.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wanyarwanda: Sioni kosa la Kikwete!

    ni kweli kuwa alichokisema rais kikwete kipo sawa, wanyarwanda wasikimbie ukweli, mgogoro ndani ya congo ni wanyarwanda waliokimbia makwao. Wanyarwanda wakae wazungumze na pia uhutu na utusi usiwe kigezo cha majanga ndani ya nchi jirani ya congo drc
Back
Top Bottom