security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Hivi lowasa akiwa rais, hao marafiki zake wanaompa pesa ya kununua madaraka atawalipa nini? Uhuru wa kuuza unga, au tenda za kutengeneza mvua?
nape na sita wanafanya hivyo ili jamaa awape kitu kidogo wakiishiwa wanaanza tenaWanajamvi wengi tunapinga Lowasa kusimama kama mgombea wa CCM 2015 huku tukimuita mwizi na fisadi,lkn wajameni hembu niambieni aliye CCM na sio mwizi, na kama yupo hapo anafanya nini katika kundi la wezi?.......binafsi namsifu Mzee Sita na Kijana Nape pamoja na unafiki wao lkn ndio mwenye mshipa wa kumnyooshea Lowasa kidole japo viongozi wengine wa juu wanaogopa na kuishia kulalama tu.
Lowasa wangeshirikiana na mzee wa elimu ya kutangaza zigo a.k.a zitto wanzisha chama.coz hawana nafas ya urais wanaliko
Mimi namshangaa sana Lowasa Kwa kukamia kuwa Raisi sijui ana nini kipo moyoni mwake, pia ajue Mungu anaweza akawa na chaguo lake na sio yeye na asisahau hakuna mwenye uhakika wa kufika 2015 ila Mungu mwenyewe ndio anayejua.
No free lunch, wakale walisema. Yeye mwenyewe husema kuwa pesa anapewa na marafiki zake ambao ni wafanyabiashara hivyo ni busara akatuambia ni kwa namna gani amejipanga kulipa fadhila hizo za marafikize? Lazima atuambie mapema, asijekuwa anampango wa kutuuza utumwani tena.Huo ni ufinyu wa mawazo
Mimi namshangaa sana Lowasa Kwa kukamia kuwa Raisi sijui ana nini kipo moyoni mwake, pia ajue Mungu anaweza akawa na chaguo lake na sio yeye na asisahau hakuna mwenye uhakika wa kufika 2015 ila Mungu mwenyewe ndio anayejua.
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi, mamaaaaaaaaaaaaaaa kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi mayowaneeeeeeeeeee maweeeeeeeeeeeeeeenape na sita wanafanya hivyo ili jamaa awape kitu kidogo wakiishiwa wanaanza tena
Mimi namshangaa sana Lowasa Kwa kukamia kuwa Raisi sijui ana nini kipo moyoni mwake, pia ajue Mungu anaweza akawa na chaguo lake na sio yeye na asisahau hakuna mwenye uhakika wa kufika 2015 ila Mungu mwenyewe ndio anayejua.
Mimi namshangaa sana Lowasa Kwa kukamia kuwa Raisi sijui ana nini kipo moyoni mwake, pia ajue Mungu anaweza akawa na chaguo lake na sio yeye na asisahau hakuna mwenye uhakika wa kufika 2015 ila Mungu mwenyewe ndio anayejua.
Mbona slaa na mbowe wanatafuna ruzuku makao makuu na hakuna anaeondokaWanajamvi wengi tunapinga Lowasa kusimama kama mgombea wa CCM 2015 huku tukimuita mwizi na fisadi,lkn wajameni hembu niambieni aliye CCM na sio mwizi, na kama yupo hapo anafanya nini katika kundi la wezi?.......binafsi namsifu Mzee Sita na Kijana Nape pamoja na unafiki wao lkn ndio mwenye mshipa wa kumnyooshea Lowasa kidole japo viongozi wengine wa juu wanaogopa na kuishia kulalama tu.