Recent content by Ngiama makanda

  1. Ngiama makanda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke marapa waliotisha kwenye bendi za Congo... Tutu Kaludgi na wengineo.

    UONGO
  2. Ngiama makanda

    JamiiForums Tanzania Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

    Bila shaka Manchester United ndo kaleta msiba huo
  3. Ngiama makanda

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wenzangu huwa mnawezaje kula viporo?

    kuna nyakati kwenye maisha huwa zinatokea na kukufanya uweze kufanya kile ulichoona usingeweza kukifanya, kuna wakati utafika utaweza tu mkuu.
  4. Ngiama makanda

    JamiiForums Tanzania Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

    simply mpina 😂
  5. Ngiama makanda

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Bilionea aliyepitishwa kugombea Singida Kaskazini

    Hapo chini kavaa safety boot au ni mm ndo macho mabovu
  6. Ngiama makanda

    JamiiForums Tanzania Kuoa au Kuolewa Kilimanjaro ni ticket ya mafanikio

    Usisahau pia ni tiketi ya kurejea mavumbini
  7. Ngiama makanda

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masikini Nchi Yangu, Tanzania, Tunakosa Viongozi Wazuri kwa Dhulma!. Waliokatwa kwa Zengwe, Wangegombea as Independent, Wangeshinda!.

    Unamkata ummy unapitisha baba levo what a hell of political party
  8. Ngiama makanda

    JamiiForums Tanzania Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

    Umemaliza mkuu
  9. Ngiama makanda

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

    Hivi kuna watu wanaosali kwa kupiga makelele na kubweka kuwazidi WALOKOLE? !!! Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
  10. Ngiama makanda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Tangazo reeèeefu
  11. Ngiama makanda

    JamiiForums Tanzania Kwa ile michango ya CCM jana, Nimegundua inawezekana kuwa na Harambee CCM kulipa deni la Taifa (Deni la Taifa Gala Dinner)

    Kwahiyo unaamini hizo billion 86 kweli zimetoka kwa hao waliotoa hizo ahadi?
Back
Top Bottom