Recent content by ng'homango

  1. ng'homango

    Napendekeza bendera ya taifa la Tanzania baadhi ya rangi zake zibadilishwe na kutiwa zingine

    'bora yetu wakulima tuliojaza mahindi na mchele tele kwenye vihenge, njaa iwatafune tu nyie msiofanya kazi bali kuwaza yasiyowazwa na kuyatema mithili ya samaki kumeza maji na kuyatema' [emoji83] [emoji86]
  2. ng'homango

    Fahamu kuhusu Mwl Julius Kambarage Nyerere Baba wa Taifa la Tanzania

    huyu mtu alikuwa wa pekee sana katika ulimwengu huu. Heshima na idumu kwake.
  3. ng'homango

    Huyu msichana simuelewi

    kama umemuona kila utokapo kwenu we anakuhusu nn.... mbona kuku na bata zenu husemi kama unaziona kila cku au kwa huyo 'demu' umeshangazwa na kipi... nadhani huwa unashindia mihogo
  4. ng'homango

    Napenda kunusa kufuri la mke wangu

    una nyege kichwani!
  5. ng'homango

    Maono ya Mbowe miaka 10 iliyopita!

    ukiwa mtafiti wa mambo hata ukitoa jambo la kiutafiti linakuna 'maoneo' na 'mawazio' na kama hutaweza hata kuelewa kwa picha kwa mandishi utatafuta njaa bure. mbowe wakati anaona 'kesho' mwaka huo 2005, mtawala aliyeshindwa kuthibiti maporomoko ya shilingi dhidi ya dolali alikuwa anaona 'leo'...
  6. ng'homango

    Nataka kumuoa ila ni mtata sana

    Huyo yupo sawa kabisa kutotaka papuchi yake iingiliwe kiholela, ila unachopaswa kufanya nenda nae taratibu wala ucmwendee pupa hata kama atakuwa analala 'kabati' la tinted we mchukulie poa maana anatafakari namna ya kuruhusu mjusi umwingilie ila cku mjusi ameingia tunduni atakuwa anataka hata...
  7. ng'homango

    Kwa kingereza tafadhali

    mmmm... huyo aliyesema 'cooking tea' nadhani kama aliingiaingia darasani mwalimu wake alikuwa hajala siku hyo alikuwa na mgogoro na mke wake, mume wake, rafiki yake wa kike ama ragiki yake wa kiume au pengine hamnazo kabisaaaaaa.....
  8. ng'homango

    Kondoo dume anaitwaje

    naomba kuelimishwa juu ya mnyama huyu: mbuzi dume anaitwa 'beberu', na kondoo dume aitwaje? tupia jibu tusaidiane kupambana na adui 'ujinga' maana kanisumbua kwa muda sasa.....
Back
Top Bottom