Napendekeza bendera ya taifa la Tanzania baadhi ya rangi zake zibadilishwe na kutiwa zingine

magallo

Member
May 31, 2016
47
24
Nimekuwa na mtazamo usioridhishwa na mpangilio wa rangi ktk bendera yetu ya Taifa.Kama inavojulikana bendera yetu ina rangi NNE ikiwa ni blue,njano,nyeusi na kijani.

Zangi hizo zimewekwa kwamsingi wa utambulisho wa mazingira ilipo nchi yetu aina ya watu wake,pia baadhi ya Mali zinazopatikana nikizingatia msingi wa utambulisho wa hizo rangi naona haukidhi utambulisho wa nchi kama Tanzania nayoijua Mimi kwa maana kuwa utambulisho uliofanyika is very common, nikianza na rangi yakijani inayo wakilisha uoto wa asili ,uoto huo unapatikana karibu ktk kila nchi duniani kama zipo nchi zinazokosa huo uoto kijani basi yaweza kuwa ni nchi chache sana.hivyo sioni mantiki ya uwakilishi wa rangi hii ktk bendera yetu kwa kuwa hakuna uniqueness.

Inafuata rangi blue inayowakilisha uwepo wamaji bahari.hii nayo sioni umuhimu wake kwa kuwa robotatu ya dunia tunamoishi inazungukwa na maji bahari hivo nchi nyingi duniani zipo ktk mazingira ya maji bahari hivo sioni umuhimu wa utambulisho huu ktk bendera yetu kwa kuwa hiyo bahari nikitu very common humu duniani Nakwamba sioni uniqueness hata ikapaswa kuwa ktk bendera yetu.

Baada yahizo rangi nilizokwisha kuzitaja nahitimisha kwa rangi nyeusi, kama nilivoeleza sababu zakutoridhishwa na rangi hizo nyingine pia hii nyeusi kwangu inakosa umuhimu kipekee kwa kuwa nchi za Africa zipo nyingi na zilizonyingi wakaazi wake niweusi ijapo zipo nchi chache zenye wakaazi wenye rangi ya kiarabu.kwa hiyo Tanzania kuwapo kwake Afrika inatosha kujua wakaazi wake wengi niweusi, nazaidi ya hiyo ninamna yakuonyesha ubaguzi wa rangi maana natambua watanzania siyo lazima wawe weusi tu, nahitimisha kwakubaini kuwa watangulizi walofanya kazi ya kuchagua rangi hizo za bendera ya Taifa kwamuono wangu walikuwa na uvivu wa kufikiri.

nahitimisha kwa kuomba michango ya mawazo juu ya andiko hili, ililiwezekuboreshwa zaidi na Zaidi kwayeyote atayekuwa na mchango wa rangi zenye uwakilishi murua wa nchi yetu itapendeza Zaidi.
 
Naomba kujuwa kuhusu rangi nyekundu kwenye bendera ni kweli lazima damu imwagike
 
Mimi sina tatzo na rangi ila mpangilio wa rangi hizo zimepangwa hovyo hvyo...
Ngoja nilete bendera ya taifa yenye rangi hzo hzo ila kwa mpangirio tofauti kidogo
 
Mimi sina tatzo na rangi ila mpangilio wa rangi hizo zimepangwa hovyo hvyo...
Ngoja nilete bendera ya taifa yenye rangi hzo hzo ila kwa mpangirio tofauti kidogo
1480525198113.png
1480525211663.png
 
Mleta mada ulitaka rangi gani ziwekwe?
Mada yangu nimeeleza vizuri kuwa naomba yeyote mwenye mawazo yamapendekezo yarangi mbadala wa hizo nilizo taja watoe michango yao,silazima kilakitu nieleze Mimi. nilichoeleza kimeeleweka nazaidi napenda kushirikishana kwa wale wataoona mantiki ya andiko langu wanaweza kupendekeza hizo rangi na kwapamoja tukazijadili na kufikia umoja wetu.
 
Wewe unataka kuwapa watu ulaji.

Iundwe kamati ya kushughulika na hilo swala huku watu wakitafuna posho. Kama ile kamati ya kutafuta vazi la Taifa.
Sijataka watu wapewe ulaji labda hilo niwazo lako,langu nimuono wa huo upungufu niliouona.
 
Hawa ndio wanaokuja kutafuta majibu wakijifanya wakerekwaji. Nilidhani utakuja na pendekezo kumbe upo kwenye research!
Usiwe mgumu wakuelewa hivo! Hapa hakuna anaejua kilakitu wala kutafuta umaarufu wakujua.ila nikushilikishana hatimae tunapata majibu
 
'bora yetu wakulima tuliojaza mahindi na mchele tele kwenye vihenge, njaa iwatafune tu nyie msiofanya kazi bali kuwaza yasiyowazwa na kuyatema mithili ya samaki kumeza maji na kuyatema'
 
Back
Top Bottom