Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,707
- 272,603
- Thread starter
- #41
baada ya kusoma post yako nimejikuta nabubujikwa na machozi , masikini nchi yangu !Mwaka 1992 Dola Moja ya Kimarekani ilikuwa sawa na Tsh 55.
baada ya kusoma post yako nimejikuta nabubujikwa na machozi , masikini nchi yangu !Mwaka 1992 Dola Moja ya Kimarekani ilikuwa sawa na Tsh 55.
swali , je mbowe ni kiona mbali au la ? kwanini ?
asante mkuu .Hawezi kukujibu mkuu, atabaki na kigugumizi na maneno aliyokaririshwa huko lumumba.
Ukishakuwa Kiongozi wa juu Chadema unakuwa na elements za kinabii. Nabii Mbowe!
njaa mbaya sana ! hapa tunamzungumzia Mbowe na maono yake , hawa wengine tuanzishie uzi wake .Nabii Slaa, Teh teh ...
Mtume Lema !
Mbowe amefanya nini Chadema zaidi ya kujimilikisha Chama kwa kukiondoa kipengele cha ukomo wa uongozi?
mjomba , mimi sihusiki na hili , nimenukuu kwenye kumbukumbu muhimu za nchi tu baasi .pumba kweli kweli! kupenda kubaya sana!
Kwa nini laana ya watu wapuuzi isiwarudie wao?Hujafa hujaumbika!Huyu anatakiwa awe na chongo yeye mwenyewe maana tukisema awe kipofu watu watamuonea huruma kwa vile hawajui jinsi anavyojichulia leoUsicheke ukunga kizazi kingariko.mungu akupe mtoto jicho moja hakuna na kama huwaini zaa utaona huo msemo.
swissme
asante mkuu .The most useless jf member, chadema is stronger and ccm is weaker compared Tom may 2005