Recent content by Ngereja

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba yanukia: Mahakama kuanzisha Supreme Court, jengo limeshajengwa Dodoma

    Kwa katiba ya sasa hakuna Supreme Court, ila jengo hilo limezingatia kwamba siku za baadaye kutakuwa na Supreme Court, maana imeshaonekana inahitajika.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba yanukia: Mahakama kuanzisha Supreme Court, jengo limeshajengwa Dodoma

    Kina Kinachojengwa Dodoma sio Supreme Court bali ni The Judiciary Headquarter Building" . Jengo la Mahakama ambalo ndani yake kutakuwa na Mahama Kuu, Mahakama ya Rufaa na Mahakama ya Juu (Supreme Court). Jengo moja lakini litakuwa na hizo mahama zote 3 in ONE HOUSE. Usanifu umezingatia itifaki...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Mushi wa MUCE achezea sharubu za Rais Magufuli kwa ufisadi. Vyombo vya dola vyaagizwa kumchunguza

    Wewe ndo una matatizo na kiinglish. " Value for Money" ni sahihi kabisa
  4. N

    JamiiForums Tanzania MRI and CT-SCAN Muhimbili, matengenezo yanazidi gharama ya kununua mpya

    Naona wewe hesabu ndo zinakupiga chenga, 860 milioni sio sawa na bilioni 8.6 860,000,000/- hii ni milioni mia nane 8,600,000,000/- hii ni bilion 8.6
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Mtoa hoja unatakiwa kuelewa kuwa MOI,NHIF ni taasisi zinazojitegema na si sehemu ya MNH, ingawa taasisi zote isipokuwa NHIF ziko ndani ya eneo moja. MOI=Muhimbili Orthopaedic Institute NHIF = National Health Insurance Fund, hii ni taasisi ya bima ya afya na si sehemu ya MNH.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Joel Laurent kuwa Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania

    Taarifa hiyo ina mapungufu makubwa kama ifuatavyo: 1. Taasisi ya Elimu Tanzania inayofahamika ni TIE (Tanzania Institute of Education) ambayo inahusika na uendelezaji wa mitaala ya elimu kwa shule za sekondary na vyuo. tazama link http://www.tie.go.tz/ 2. Kuna mamlaka ya Elimu Tanzania au TEA...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mshahara anaolipwa Mkwasa unaleta picha gani kwa Watanzania?

    Akilipwa Mzungu ni sawa ila akilipwa mtanzania sio sawa!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hili la Ikulu linanitisha, sitaki kuamini!

    "katibu muhitasi wa rais ama twaita mnikulu" Katibu muhitasi != Mnikulu Mnikulu = Comptroller Katibu muhitasi = Personal Secretary
  9. N

    JamiiForums Tanzania Yupi mume bora kati ya hawa wawili? Nahitaji washauri wazuri sana ili kunisaida kushauri

    Tatizo ni kwamba na yeye tayari ana mtoto kwa hiyo inaweza kuwa ngumu kwake kuolewa na mtu mwingine ambaye hajazaa. Ushauri wangu mimi uko ni huu: 1. Aachane kabisa na Mume A: ila huyo mume A atunze au ahudumie mwanae matumizi ya shule na matibabu, na asimruhusu tena kuja kulala. 2. Kwa kuwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais CCM: Mchakato kuanza rasmi Juni 3, 2015. Ratiba hii hapa

    Kwa kawaida Tume ya Taifa ya uchaguzi ilitakiwa iwe imeshatoa ratiba ya zoezi la uchukuaji form na kuzirejesha ili ratiba za vyama vya siasa ziwe nda nya ratiba ya NEC. Ukiangalia kwa makini utaona sasa NEC ndo watafuata ratiba ya CCM
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jembekafestival: Diamomd katika ubora wake

    Mchagueni awe rais wa JMT, ahahahahahaha!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ben Msuya: Askari Mtanzania aliyepata kuongoza Uganda

    Hivi hakuna mtu anayeweza kuanzisha project ya kudocument vita ya Kagera vizuri naamini kitabu kama hicho kitalipa sana, bado askarina makamanda wengi walioshiriki vita hiyo wako hai, japokuwa kukosa maandiko au maelezo kutoka kwa makamanda kama hawa wliokwishafariki (Maj. Gen. Silas Mayunga...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Rais Nyusi Bungeni, Mkuu wa Itifaki ana matatizo

    Kwanza hilo siyo zulia jekundu, rangi yake ni "Purple"
  14. N

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu anataka kumfumania mke wake leo

    Mwambie asiende na mtu mwingine yeyote ila yeye peke yake, kisha akiwakuta sifanye jambo lolote ahakikishe tu kwamba mke wake ameuona na amejua na huyo mgoni wake pia. Kisha arudi nyumbani kupumzika, mke wake akirudi nyumbani asimsemeshe chochote kuhusu tukio. Na aendelee na maisha na mke wake...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hajui kama nimeoa? Penzi limenoga nataka kusema ukweli

    Mwambie asiende na mtu mwingine yeyote ila yeye peke yake, kisha akiwakuta sifanye jambo lolote ahakikishe tu kwamba mke wake ameuona na amejua na huyo mgoni wake pia. Kisha arudi nyumbani kupumzika, mke wake akirudi nyumbani asimsemeshe chochote kuhusu tukio. Na aendelee na maisha na mke wake...
Back
Top Bottom