Rais Kikwete amteua Joel Laurent kuwa Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
attachment.php
 

Attachments

  • TEA.png
    TEA.png
    17.9 KB · Views: 2,286
Ya kweli ama ,huyu jamaa anatudharau sana watanzania walahi tena
 
mtakubaliana na mimi kwamba hata ikibaki dakika tano bado kikwete atafanya uteuzi,hapo bado kuna nafasi ya Kombani
 
Nafuatilia matokeo hapa na naona EL ngome zake hazijatangazwa hivyo matumaini bado yapo.
ikitokea bahati mbaya pushapu zikaelekea magogoni basi kuna uwezekano Magu akaombwa wai-share kwa muda usiojulikana.
 
Nafuatilia matokeo hapa na naona EL ngome zake hazijatangazwa hivyo matumaini bado yapo.
ikitokea bahati mbaya pushapu zikaelekea magogoni basi kuna uwezekano Magu akaombwa wai-share kwa muda usiojulikana.

we mbwiga Ata ngome za magufuli bado
 
Taarifa hiyo ina mapungufu makubwa kama ifuatavyo:

1. Taasisi ya Elimu Tanzania inayofahamika ni TIE (Tanzania Institute of Education) ambayo inahusika na uendelezaji wa mitaala ya elimu kwa shule za sekondary na vyuo. tazama link http://www.tie.go.tz/

2. Kuna mamlaka ya Elimu Tanzania au TEA (Tanzania Education Authority). tazama link http://www.tea.or.tz

Kwa hiyo aliyeteuliwa ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu (TEA) na si taasisi. Mwandishi ajifunze lugha ya kiswahili.


swali hapa kateua au hajateua
 
Back
Top Bottom