Hili la Ikulu linanitisha, sitaki kuamini!

Kwa jinsi ulivyoelezea Ikulu naona ni kama unajaribu kuonyesha watu kuwa unaifahamu vizuri...ila ni wazi kabisa kuwa hujui hata structure ya ikulu..you are lacking alot of information
 
Usipotoshe mada kijana, hoja iliyopo ni miiko ya urais,

Kwamba unaijua ikulu hilo halina msingi wala faida hapa
 
Ulichoelezea ni kama mtu anajaribu kuelezea structure ya serikali afu akaaza na kuelezea kazi za waziri mkuu, afu akahamia kwa IGP afu akaenda kwa afisa mtendaji wa mtaa (hapo kamaliza structure)...hatari sana
 
Mkwa taarifa ni kwamba Gurumo is no longer a chief protocal officer in the state house. Alisharudishwa kwa mwajiri wake,ni sawa na mkurugenzi wa bandari aliporusishwa kwa mwajiri wake maana yake sio mkurugenzi tena.
 
Yericko Nyerere

Hao wateule wa raisi ni vilaza ambao huenda wanafanyiwa kazi na watu ambao si waadilifu ambao hutoa siri !
 
Last edited by a moderator:
"katibu muhitasi wa rais ama twaita mnikulu"

Katibu muhitasi != Mnikulu

Mnikulu = Comptroller
Katibu muhitasi = Personal Secretary
 
Alafu ww...ur analysis and logic is very disorganised...!!!

Hv kuna mtu RAIS yuko chini yake Ikulu..!!? So poor, go and edit, coz wenye uelewa watakupuza sana, hii ndio akili ya vijana wa CDM..!!? Is this..!? Very liquid..!!

In other words, hujui unaandika nn, RAIS yuko juu ya kila mtu, Ikulu na nchi nzima..!! Hata Judge akikuhukumu kunyongwa, Rais anaweza kukusamehe, na ukawa huru na hakuna swali...huku ukiwa na hatia na mahakama imetoa hukumu unyongwa, ila Rais mara moja anaweza kukusamehe...

Funny enough, hujui vizuri our State House official ranks order...!!! unachanganya sana, mara kiswahili upatie, cheo hicho hicho unakosea kwa kingereza...!!!

Huko CDM ndio mnakofundishwa kuwa Ikulu kuna mtu mkubwa hadi Rais yuko chini yake..!!? Ur sick..!!
 
Yericko Nyerere

Ni udhaifu tu Mkuu wa Central Figure!

Hukuona hata tume ya maadili wakifokewa kama watoto wa Primary?!!!
 
Last edited by a moderator:
Ulichoelezea ni kama mtu anajaribu kuelezea structure ya serikali afu akaaza na kuelezea kazi za waziri mkuu, afu akahamia kwa IGP afu akaenda kwa afisa mtendaji wa mtaa (hapo kamaliza structure)...hatari sana

Hoja hapa sio muundo na mfumo wa Ikulu bali hoja ni imekuwaje siri zinavuja toka Ikulu.

Mtoa ametaja majina hayo kwa kuwa ndiyo majina ya ikulu yenye kuhusishwa na utovu wa maadili.

Ukiweka hayo mawili pamoja unapata hitimisho moja tu, "IKULU IME............"
 
Hii mada mmmmhhhhh shauri yenu..mie sipo huko kabisa na wala sitaki kusogelea kabisa
 
Yaani Bavicha empty kabis vichwani ndio uandikaji gani huu? Unaandika huna hakika, unaandika kwa hisia zaidi.
 
Alafu ww...ur analysis and logic is very disorganised...!!!

Hv kuna mtu RAIS yuko chini yake Ikulu..!!? So poor, go and edit, coz wenye uelewa watakupuza sana, hii ndio akili ya vijana wa CDM..!!? Is this..!? Very liquid..!!

In other words, hujui unaandika nn, RAIS yuko juu ya kila mtu, Ikulu na nchi nzima..!! Hata Judge akikuhukumu kunyongwa, Rais anaweza kukusamehe, na ukawa huru na hakuna swali...huku ukiwa na hatia na mahakama imetoa hukumu unyongwa, ila Rais mara moja anaweza kukusamehe...

Funny enough, hujui vizuri our State House official ranks order...!!! unachanganya sana, mara kiswahili upatie, cheo hicho hicho unakosea kwa kingereza...!!!

Huko CDM ndio mnakofundishwa kuwa Ikulu kuna mtu mkubwa hadi Rais yuko chini yake..!!? Ur sick..!!

Hujaelewa vema nini kimeandikwa mkuu, soma kwakutulia

Itifaki na na mkuu wake wa itifaki
 
Watakuwa wanapiga story hizo na kina diamond platnumz wakienda magongoni halafu kina diamond wakitoka hapo wanaenda kuisimulia tena mitaa ya kucheza kitorondo
 
Back
Top Bottom