Mi nashauri watu wakae mkao wa kujihami. Mi sasahivi najifua kikwelikweli natamani hao wasiojulika waje kwangu ndo itakuwa njia ya kuwatambua. Sasa hivi najitesa kwa kufanya mazoezi magumu nikiwasubiri hao watekaji. Make kuna msemo usemao ukiona mwenzio ananyolewa mawewe tia maji zu yaweza kuwa...
Akili zetu zimejaa maji hivi kiongozi aliyesema hawajui walioagiza hivi vichwa vya tren kwani humu nchini kuna reli ngapi na hivyo vichwa vingetumia barabara ya rami kama magari? Mi tangu day 1 niliona usanii wa viongozi wakisema hawamjui mwagizaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.