Waraka wangu kwa wamiliki wa nyumba za kupanga hasa hapa DSM

Nachojua nyumba nyingi Dar kwa mwezi eg Tabata , Sinza, Kino, Ilala, Tmk Chang'ombe, Tegeta.. Kimara, Kigamboni Etc

1: 1 bedroom + jiko + toilet average 150k

2: 2 bedrooms + jiko + toilet + sitting room.. Avg 250k

3: 3 bedrooms ( 1 master ) + jiko + toilet + sitting + fence ndogo + maji avg 300k - 400k

4: 4 bedrooms ( 1 master ) + jiko + toilet + sitting room + fence + parking kubwa ya gari 3 au 4 ndani ya fence + maji *avg 450k - 600k

zaidi ya hapo ni kulanguliwa tu
 
Nachojua nyumba nyingi Dar kwa mwezi eg Tabata , Sinza, Kino, Ilala, Tmk Chang'ombe, Tegeta.. Kimara, Kigamboni Etc

1: 1 bedroom + jiko + toilet average 150k

2: 2 bedrooms + jiko + toilet + sitting room.. Avg 250k

3: 3 bedrooms ( 1 master ) + jiko + toilet + sitting + fence ndogo + maji avg 300k - 400k

4: 4 bedrooms ( 1 master ) + jiko + toilet + sitting room + fence + parking kubwa ya gari 3 au 4 ndani ya fence + maji *avg 500k - 700k

zaidi ya hapo ni kulanguliwa tu

Hapo sawa, japo tabata na kimara mwisho kwenda mbezi ni chini kidogo! Huko kwingine, sinza, mwenge nk wanataja bei wanazozijua wao
 
Nimekua nikifanya shuguli za udalali wa nyumba, magari, viwanja nk kwa mda sasa hasa kwa kutangaza hapa JF, Zoom, Instagram na kwingine, Kila kazi ina changamoto zake.
View attachment 701319
Leo nimeamua niongelee swala la nyumba hasa hapa jijini DSM, kwa kipindi kirefu madalali tumekua msaada mkubwa wa kuwatafutia wateja nyumba na wa kuwaunganisha na wenye nyumba, sikatai kuna ambao ni waaminifu na wengine si waaminifu,

View attachment 701331

Leo kuna swala nataka niwahusie wenye nyumba za kupangisha, hakuna asiejua hali ya uchumi kwa sasa, vyuma vimekaza, hata kama basi ni hivyoo basi kodi zenu ziendane na nyumba halisi, kuna wanaosema eti madalali wanapandisha bei ili wapate chochote, la hasha, dalali tunafurahi pale mteja anapopata nyumba anipe ya mwezi, mimi niko radhi kama nyumba nibya 400k nikienda na mteja nimbembelezee hata apate kwa 350k nipate yangu ya mwezi, mana madalali tupo wengi siku hizi, mteja wangu asipoichukua basi badae naweza nisiikute.
Ila changamoto ni pale mwenye nyumba anakuambia umtaftie mteja anakutajia dau la kodi kwa mwezi ambalo haliendani hata na nyumba yenyewe, unakuta hata mm dalali naangalia ile nyumba hadhi yake na seheme ilipo ni shilingi 200k ila mwenye nyumba anakuambia 350k, unamshauri bosi kua fanya hata 200k anakujibu ni heri ikae, na nikweli inakaa hata miezi sita ndio anaanza kukurupuka!
Kusema kweli kuna nyumba ambazo ziko ovyo sana ila hiyo kodi hata mm nikimpeleka mteja roho inanisuta kua nampotezea mteja mda wake, Ila ukweli kwa sasa ni kwamba nyumba nyingi kodi si rafiki, nyumba ya vyumba viwili ukitaka mteja aridhike basi mpeleke ya kuanzia 300,000 na kuendelea,hapo naongelea maeneo ya, ubungo,kimara,knyama,makumbusho, kinondoni, mwenge, na maeneo kama haya, yani hata huko boko na tegeta!,
Yani kwa sasa hata ukitaka chumba na sebule ya 200,000k kupata ya kuridhisha ni kazi! Mfano mwaka jana kama mwezi wa nne kuna mteja mikocheni alifika kodi Dola 1500 kwa mwezi, mwenye nyumba alikomaa Dola 2000, basi jamaa akaacha, ile nyumba mpaka leo anakaa mfanyakazi wa kuilinda, hata 1000$ hapati tena,

Ushauri wangu kwa wenye nyumba za kupanga Dar, acheni kukomaa na bei zenu, mnatupa kazi kubwa sisi tunaowatafutia wateja, hata kama mteja alietoka alikua analipa 300k ukipata mteja yupo tayari kulipa hata 270k na yupo serious chukueni mpunga kuliko nyumba ikae miezi 6,
Pia angalieni pia kodi zenu, angalieni kwa upande wenu je hiyo kodi ya 500k kwenye hiyo nyumba yako ingekua wewe unaepanga ungeiridhia? Nyumna nyingi za 400k basi uhalisia wake nyingi ni 300k, angaliene uhalisia wa kodi zenu na nyumba!

Nawasilisha! Povu ruksa
Chumba single maeneo ya kuanzia kimara mpaka kibamba unacho? Bei zake zipoje
 
Kinachowaponza wengi ni ile kujifanya Nyumba yangu iko mjini kabisa hapo akimaanisha Kino, Sinza, Magomeni, Kurasini
 
Madalali matatizo sana.
Hivi nyumba ikikaa bure kama kodi haijafikia, wewe una hasara gani?
Hamlipi kodi wala umeme!
 
Sawa sisi wenye nyumba tumekusoma...ila msimamo wetu upo pale pale maana hukujenga wewe bali sisi.

Nanyi madalali kama vipi jengeni za kwenu na mpangishe kwa bei nafuu...
 
Hahaa mkuu pole! Unadhani dalali hana nyumba? Najua thaman ya nyumba na nina nyumba mkuu! Na huo ni ushauri tu kwa wenye nyumba! Kama huna potezea! Na kama hina umeona ushauri haukufai unapita vile
 
Nimekua nikifanya shuguli za udalali wa nyumba, magari, viwanja nk kwa mda sasa hasa kwa kutangaza hapa JF, Zoom, Instagram na kwingine, Kila kazi ina changamoto zake.
View attachment 701319
Leo nimeamua niongelee swala la nyumba hasa hapa jijini DSM, kwa kipindi kirefu madalali tumekua msaada mkubwa wa kuwatafutia wateja nyumba na wa kuwaunganisha na wenye nyumba, sikatai kuna ambao ni waaminifu na wengine si waaminifu,

View attachment 701331

Leo kuna swala nataka niwahusie wenye nyumba za kupangisha, hakuna asiejua hali ya uchumi kwa sasa, vyuma vimekaza, hata kama basi ni hivyoo basi kodi zenu ziendane na nyumba halisi, kuna wanaosema eti madalali wanapandisha bei ili wapate chochote, la hasha, dalali tunafurahi pale mteja anapopata nyumba anipe ya mwezi, mimi niko radhi kama nyumba nibya 400k nikienda na mteja nimbembelezee hata apate kwa 350k nipate yangu ya mwezi, mana madalali tupo wengi siku hizi, mteja wangu asipoichukua basi badae naweza nisiikute.
Ila changamoto ni pale mwenye nyumba anakuambia umtaftie mteja anakutajia dau la kodi kwa mwezi ambalo haliendani hata na nyumba yenyewe, unakuta hata mm dalali naangalia ile nyumba hadhi yake na seheme ilipo ni shilingi 200k ila mwenye nyumba anakuambia 350k, unamshauri bosi kua fanya hata 200k anakujibu ni heri ikae, na nikweli inakaa hata miezi sita ndio anaanza kukurupuka!
Kusema kweli kuna nyumba ambazo ziko ovyo sana ila hiyo kodi hata mm nikimpeleka mteja roho inanisuta kua nampotezea mteja mda wake, Ila ukweli kwa sasa ni kwamba nyumba nyingi kodi si rafiki, nyumba ya vyumba viwili ukitaka mteja aridhike basi mpeleke ya kuanzia 300,000 na kuendelea,hapo naongelea maeneo ya, ubungo,kimara,knyama,makumbusho, kinondoni, mwenge, na maeneo kama haya, yani hata huko boko na tegeta!,
Yani kwa sasa hata ukitaka chumba na sebule ya 200,000k kupata ya kuridhisha ni kazi! Mfano mwaka jana kama mwezi wa nne kuna mteja mikocheni alifika kodi Dola 1500 kwa mwezi, mwenye nyumba alikomaa Dola 2000, basi jamaa akaacha, ile nyumba mpaka leo anakaa mfanyakazi wa kuilinda, hata 1000$ hapati tena,

Ushauri wangu kwa wenye nyumba za kupanga Dar, acheni kukomaa na bei zenu, mnatupa kazi kubwa sisi tunaowatafutia wateja, hata kama mteja alietoka alikua analipa 300k ukipata mteja yupo tayari kulipa hata 270k na yupo serious chukueni mpunga kuliko nyumba ikae miezi 6,
Pia angalieni pia kodi zenu, angalieni kwa upande wenu je hiyo kodi ya 500k kwenye hiyo nyumba yako ingekua wewe unaepanga ungeiridhia? Nyumna nyingi za 400k basi uhalisia wake nyingi ni 300k, angaliene uhalisia wa kodi zenu na nyumba!

Nawasilisha! Povu ruksa
Nina nyumba self tuwasiliane maeneo ya kimara bonyokwa
 
GARAMA ZOZOTE ZA NYUMBA HUTEGEMEA NA UBORA WA NYUMBA NA GARAMA.ALIZOTUMIA

NYUMBA SIO CONDOMINIUM UKISHATUMIA UNARUSHA CHOONI....UNAPOONA MTU KAKOMAA NA BEI UJUE HIO NDIO THAMAN YA NYUMBA YAKE HALISI....

POLLESANA
ENDELEENI KUPAMBANA NA HALIZENU
SIONI SEHEMU YA KUWAONEA HUZUNI WAKATI HATA KODI YA KAZI ZENU HAMLIPI.....

WAKATI MUAFAKA SASA SERKL KUWAANGALIA MADALALI NA WOTE WAANZE KULIPA KODI
 
Back
Top Bottom