Recent content by ngeleuya

  1. N

    Mapigano yanayoendelea Gaza na unafiki wa Dunia

    Burundi na Rwanda na sehemu ya Mombasa je Ni sehemu ya Tanganyika?
  2. N

    Mapigano yanayoendelea Gaza na unafiki wa Dunia

    Acha unafiki Hakuna ardhi inayokaliwa ya wapalestina eneo lote Ni la wayahudi kupitia baby yao Yakobo,Mungu aliwapa na Lina mipaka yake
  3. N

    Mapigano yanayoendelea Gaza na unafiki wa Dunia

    Hakuna ardhi ya waislamu,pale Israel pale Ni eneo lao la urithi hao wapalestina wavamizi,Soma historian vizur,hao wapalestina wamekuja baada ya wayahudi kuondolewa na warumi kihistoria pale sio kwao wanapaswa waende Jordan au Saudi Arabia ndo kwao.
  4. N

    Maiti za watu kila sehemu Gaza. Wapo wanaokufa kwa silaha za Israel na wapo wanaokufa kwa njaa

    Israel sio mkolon kwa Palestine pale ni kwao walipewa na Mungu kupitia mababu zao wakaja watu wengine kuvamia eneo lao na kufukuzwa Leo wamerudi kwao wanaitwa wakolon labda kwa mtu asiyejua historia ya Israel l
  5. N

    Baada kusumbuliwa na Hamas kwa miaka 1400, India yasema sasa ni zamu ya Israel

    Enzi za farao hapakuwepo dini ya kislamu au kikristo Ila wayahudi waliokuwa wakishi eneo la Goshen ambao waliokuwa uzao wa Yakobo hivyo usidanganye hapa.Uislam ulikuja baada ya Kristo.
  6. N

    Mazayuni wanajiondoa GAZA kimyakimya kama walivyofanya Wamarekani Afghanistan

    Hakuna haki inayopiganiwa na wapalestina,eneo Hilo ni Mali ya Wayahudi tangu alivyolotwa Joshua baadae Daudi na wafalme wote wa Israel walitawala hapo .Wapalestina walikuja baada ya Wayahudi kuondolewa na warumi mwaka 100Ad na ndipo eneo lao likavamiwa na wagen ambao Leo mnawaita Wapalestina .
  7. N

    Katibu Mkuu UN: HAMAS wana haki ya kuwapiga Israel

    Hakuna taifa linalokaliwana Israel somen biblia na sio Quran ,Hilo taifa Lina mipaka ilowekwa na Mungu mwenyewe .hao wanaojiita wapalestina hawapo hawana taifa
  8. N

    Katibu Mkuu UN: HAMAS wana haki ya kuwapiga Israel

    Ni kweli wew Ni mkristo? Mbona hujui taifa la Mungu ,kiufupi hujui usemacho wakristo tunajitambua na tunajitambua taifa la Israeli
  9. N

    Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    Uislamu hajuwepo kabla Ukristo au Uyahudi msipotoshe hata vitabu vya kislamu havikusema hivyo,Kumbuka mwislamu wa kwanza ni Khadija,then wanawe na mjombake ndipo akaja mtume Mohamed ambaye ndie wa kwanza ktk wenye kusilimu.Msipotoshe
  10. N

    Maisha ya Dodoma ni Magumu sana

    Nenda keko Ni 7000
  11. N

    Duniani Dini inayotambulika ni moja Uislamu na ulikuwepo kabla ya adamu( a.s)

    Acha uongo,muislamu wa kwanza alikuwa Khadija na wanawe wawili akafuata mtume Muhammad hiyo kusema ati uislamu ndo dini ya kwanza je Buddha Ni ya ngapi?
  12. N

    Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

    Ni kweli reli MGR ilijengwa kusin kuanzia mtwara Hadi nachingwea 1952 na alizindua Havana jenerali wa Tanganyika enzi hizo reli hiyo ilingolewa miaka ya 1970 na tawala za wakati huo kutoka na kutokuwa na Tina na pia athari za Vita vya kusin mwa Afrika hivyo kukakoseka uzalishaji na mzigo hivyo...
  13. N

    Msaada: Nyumba ya contemporary inavuja

    Acha kudanganya watu haijanzia msumbiji na hata Hali ya hewa unayoizungumzia sio kweli .Msumbiji iko ukanda mmoja na mikoa ya mtwara Lindi na ruvuma na kwa upande wa Msumbiji ni mikoa ya cape Delgado Hadi Beira eneo hili Lina mvua nyingi sana hasa kuanzia Mwez Nov Hadi April ,so tatizo mvua...
  14. N

    Nyumba aina ya Contemporary ni mchongo

    Sio kweli,contemporary zilikuwepo tangu zaman,tatizo mafundi wengi hawajui kuzijenga hasa upande wa roofing wengi hajui kupaua,Pili zinahitaji close supervision na sio kuachia mafundi ili kukwepa gharama za kulipa Architect au Engineer.
  15. N

    Mtu anayejenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege (columns), ni imara kweli?

    Mim makubaliano na mapendekezo yako kwamba kila ujenzi lazima mtalaamu ahusishwe ktk hatua zote muhimu kutokana aina ya jengo na eneo linakojengwa .Ni kwel tofali zinaweza kujenga mpaka ghorofa 4 to maximum ili mradi tu wazingatie ubora wa materials na aina ya udongo .mfano mzuri ni ghorofa...
Back
Top Bottom