Recent content by ngeke1104

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Zanzibar hupati maji yao ya mabombani kutoka wapi?

    Chanzo kikubwa ni visima, na mamlaka yao imeanzia kukusanya mapato baada ya Mwinyi kuingia. Huku maji ni sawa na bure.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hushpuppi ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela

    Ni tapeli na sio kwamba he is a skilled hacker/business man. Tofauti yake na jamaa wa tuna kwa namba hii ni kwamba anatapeli watu wazito na pesa ndefu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto kujifunza Kiingereza

    Penda kuwa na mazungumzo nae kwa lugha unayopenda aijue + katuni (ukianzia na zile basics nikimaanisha za namba, herufi n.k) polepole ata anza kuongea na kuelewa. Mimi wangu nimewaongelesha kiingereza na kiswahili toka wanaanza kuongea wanajua lugha mbili na bado hawajaanza shule.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Harmonize alipwa milioni 23 kutumbuiza maonesho matatu nje ya nchi

    Sijabishana nawe kaka, tunaeleweshana tu. Kitenge na huyo promota wote binadamu kama sisi. Mimi nakuomba rejea hayo makubaliano ya kimaandishi (mkataba) utaelewa hoka yetu ulipo. Kitenge amesharipoti habari nyingi tu ambazo hazina ukweli.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Aliniambia atanipa MTAJI, Sasa hivi ananiambia NIJIONGEZE

    Ushauri tosha amepewa, inabaki kwa muhusika kulifanyia kazi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Harmonize alipwa milioni 23 kutumbuiza maonesho matatu nje ya nchi

    Kama huu ndio mkataba wewe ndio unakosea kuna neno "ONLY FOR" katika hichi kipengele. Linabainisha hiyo 10k ni ya Burundi pekee. Labda kama sio kiingereza ninachokijua mimi au wenzangu walio jaribu kukuelewesha hapo juu.
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba, Yanga wameenda kusaidia watoto yatima, liangalieni hili

  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Count down to Kariakoo Derby 23/10/2020

    Msaada wa kuitafsiri hii post
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    😂😂 Gemu za mapema ndio kasumba zake hizo. Pole sana
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tunamalizia kiporo cha Europa
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga Trust the Process

    Ushauri mzuri, ila swali je wana plan za execute hio process yao? Nadhani mna bahati kuwa na Rais msomi na mwenye exposure nzuri, kazi ni kwake kugeuza hali hii.
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikel Arteta anaenda kuwa kocha bora wa nyakati zote. Arsenal imekuwa moto wa kuotea mbali

    That's why tunaita football. Hiyo haiondoi ubora alionao.
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

    Acha basi mtani Mnashindana Ili iweje? Si mngeigomea CAF.
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    All the best watani wa hadi kwenye kuiwakilisha nchi. Tunawategemea tukaipaishe nchi pamoja
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Calm down brother, ni siku mbaya tu kazini. Tutegemee siku ka hizi. City na squad + expirience bado huwa anakutana na gemu kama hizi. The positive is we walked away with 3 points. Lets forget today and move on
Back
Top Bottom