Recent content by ngege

  1. N

    'Siri ya vita piga nkupige' wapalestina mnalalamika nini badala ya kumtandika na nyie Israel!

    Nimechoka kusikia habari za palestina kulalamika kua wanauliwa kama kuku na nyie tumieni nguvu kumtia adabu Israel sio kupiga fujo kwenye Media! OK
  2. N

    Makazi mazuri!

    !Hello! Wana jf mi ni mwenzenu naomba mnipe mawazo mimi ni mwalim nataka nikalitumikie Taifa Morogor ila naomba mnisaidie, wilaya gani moro ni nzuri kwa maisha ya mwalimu ili kufanya na kashughuli ka kujiingizia kipato?
  3. N

    Kosa kubwa la kikwete!

    Huu ni mtazamo wangu utawala wa kikwete ni wa kipole sana kwan mpaka sasa hivi hatusikii watu kupigwa exile yaani kuhamishwa nje kwa nguv. ndo mana kila mtu anaibuka na kuanzish falsafa yake japo bwana kaya ameonyesha msimamo wake katika kuendesha taifa hapa imekaaje? Bwana kaya na wewe amka...
  4. N

    Tatizo la simu aina ya x-2

    Nisaidie mkuu sim yangu ni X2-01 V 8 RM 709
  5. N

    Tatizo la simu aina ya x-2

    Hello, jaman naomba msaada sim yangu ya Nokia aina ya x-2 ukidownload file la PDF halafu akataka kulifungua naambiwa file not supportive hiv nifanye nini na hili tatizo?
  6. N

    Nokia company

    X-2 haifungui PDF
  7. N

    Natafuta mtu wa Kuniloga.

    Uchawi uko ndani ya akili yako so uchawi ni fikra zako mwenyewe jinsi unavyoamini kuhusu matukio
  8. N

    Biashara ya pikipiki

    Mkuu bei ni maelewano lakini pia kama imeshatumika zaidi ya miezi minne tunaweza kuelewana mkuu. Kwa mawasiliano zaidi mkuu hebu ni pm.
  9. N

    Biashara ya pikipiki

    Hello, wana jf mi niko arusha mjini maeneo ya duka dogo natafuta pikipiki ya kununua ambayo imetumika si zaidi ya miezi minne ni pm no hii 0686164981
  10. N

    Biashara ya pikipiki

    Hello, wana jf mi niko arusha mjini maeneo ya soko dogo ninatafuta pikipiki ya kununua ambayo imeshatumika si zaidi ya miezi minne please ni pm no hii 0686164981
Back
Top Bottom