Habari za muda wadau!
Kuna kazi Kubwa ya kutengeneza kokoto kwaajili ya ujenzi wa barabara. Kama una-crasher au unamfahamu mtu alienayo. Nitafute What'sApp kwenye namba (....).
Zimeshapatikana tayari!
Asanteni!
Usipende kuwa jumuishi kama unazungumzia maoni ya watu.
Ungeonekana huna mihemko kama ungetumia 'asilimia kubwa' au 'wengi'.
Siku nyingine usiwe mjinga. Sawa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.