Recent content by NGAZIJA YOGAYOGA

  1. N

    Mtu anayetumia ARV kwa muda mrefu virusi huwa havionekani kwenye vipimo vidogo?

    Na baada ya kupima Kama NI maombi Basi ushuhuda Ni kwamba Mwamposa anaponya hata wenye UKIMWI kumbe kampima alotumia dawa muda mrefu
  2. N

    University of Dodoma mnajishushia hadhi yenu

    Mmmmh! Labda tutoe uwanja kwa wanachuo hicho wajieleze
  3. N

    University of Dodoma mnajishushia hadhi yenu

    Mbona repeat semester ,discontinue,Sup and carry ni tishio. Mambo hiyo ni too much sana katika hicho chuo,istoshe Rais wa chuo hicho hana neno kwa wale ambao hurudia semester hasa baada ya kuchelewa kulipa ada kwa wiki moja,watu wenyewe ni in service ,wanalipa penalties lakini ,wana repeat,wadau...
  4. N

    Uchaguzi mkuu chuo cha st john 2015

    Inauma kwani ni mbaya Sana kutokea Hasa ambapo wanafunzi wanapobebeshana skendo mbaya Sana za kwa ajili ya siasa chafu, cjui wadau tunaelekea wapi????
  5. N

    Uchaguzi mkuu chuo cha st john 2015

    Chuo kikuu cha St John's University of Dodoma,kinaonesha tabia Za Unkurunzinza ambapo Watu hawataki kuachia madaraka.
  6. N

    Mgomo mpya wa aina yake chuo kikuu cha st. John's Dodoma

    Wiiki mbili zilizopita baada ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St. john's kugoma mnamo tarehe 19,Novemba,2014.Wanafunzi hao wameanza tena mgomo leo hii tarehe 4, Desemba,2014 baada ya Rais wa serikali ya wanafunzi, Bw. Daniel Damian na Waziri mkuu wa serikali yake kutangaza mgomo mpya baada ya kero...
  7. N

    St. John University kuna mgomo

    Leo tarehe 19, Novemba 2014, wanafunzi wamegoma kuingia darasan kwa sababu zilizotajwa kuwa kikwazo kikubwa chuoni hapo kama: alama zake kuwa juu. Wanafunzi kufelishwa maksud na kuombwa rushwa ya ngono kwa wasichana, upungufu wa viti, ubovu wa vyoo, ubadhirifu wa fedha za wanafunzi. Walimu...
  8. N

    MEMBE yupo LIVE ITV kipindi cha dakika 45

    wala hamna cha kutafta kura ni ukweli kabisa,kwani tz tuko kamili kwa infantly army,airforce na. Majini.na vita ya mtz ni ya chini ka marekan japo wamebase air force.minister hadanganyi
  9. N

    Richard Leo aliyekuwa TBC1 awa Mkurugenzi mpya Radio Kasibante FM Bukoba

    Jaribu kuwa mkweli,hiyo KASIBANTE kuanzishwa au kumilikiwa na balozi HAMIS KAGASHEKI si kueneza uCCM.Tungekuwa futuhi tungeomba utengue kauli.
Back
Top Bottom