Nokia Lumia 820. katika pita pita yangu hasa Youtube kucheki review ya simu nimegundua ni simu nzuri sana! Tatizo ni moja tu linaloikabili.. Unajua Platform ya Windows Phone haijawa na applications nyingi tofauti na Android na IOS. hilo tu ndo tatizo zaidi ya hapo ni simu nzuri sana.
Salamu wana JF, ninaomba kujua kwa mtumiaji wa decoda ya DIGITEK. Ni channel zipi zinazopatikana? Maana me sijui kabisa :A S 39: Natanguliza Shukrani..
Babe: Hallo..
Sharo: hey swtie are u eyes??
Babe: Nini??
Sharo: are u eyes??
Babe: bwana sikuelewi, unasemaje?
Sharo: nasema hivi are u eyes??
Babe: naona hauna la maana me nakata simu..
Sharo: Ooh! sorry mamie namaanisha uko macho?
Kiukweli tunapoongelea swala la Decoda ipi nzuri kuna mambo kadha wa kadha ya kuzingatia.. mambo kama gharama, signal (Picha na sauti), Burudani inayotolewa na kampuni husika n.k. Ninachoweza kusema hebu tujaribu kuangalia ww binafsi unahitaji nini na unaweza lipia nini? Kwa maana nyingine fanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.