Msaada kuweka tv (flat screen) kwa ukuta bila kutoboa ukuta.

Msaada kuweka tv (flat screen) kwa ukuta bila kutoboa ukuta.

El Ngassa Jr

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
7
Reaction score
4
Wana JF naombeni msaada wa namna ya ku-mount tv ukutani bila ya ku drill.. natanguliza shukrani..
 
Unahitaji kuwa na special wall mount kama hii kutegemea aina na ukubwa ya TV yako.

tv wall mount.jpg
 
Unahitaji kuwa na special wall mount kama hii kutegemea aina na ukubwa ya TV yako.

View attachment 78896
sawa kabisa lakini ni lazima atatoboa ukuta
nachoona labda hiyo Mount akaining'inize Darini karibu na huo ukuta la sivyo atumie Projector ambapo atatumia ukuta au kitambaa atakiweka kwenye stand au kuning'iniza
 
lazima utoboe ukuta alafu kwenye nyumba za kupanga ndo kuna utata unaweza timuliwa...
 
Nimevutiwa na Idea yako kaka, tatioz linakuja hii kitu naweza ipata wapi sasa. maaa tayari ushanipa mwangaza nashukuru sana.
 
Achana na TV nunua projector.

hahahaha... Sasa akinunua projector si itabidi awe anaitumia usiku wakati wa giza au kama ni mchana basi afunge milango na mapazia?
Na si unajua joto la bongo, labda awe na A.C!!
 
Nimevutiwa na Idea yako kaka, tatioz linakuja hii kitu naweza ipata wapi sasa. maaa tayari ushanipa mwangaza nashukuru sana.

game store zipo kaka. Uwaulizie bei ya sale wanakupa siku kabla. Ama bei ya mchongo (kuibia mwizi sio dhambi kabisaaa)
 
Nimevutiwa na Idea yako kaka, tatioz linakuja hii kitu naweza ipata wapi sasa. maaa tayari ushanipa mwangaza nashukuru sana.

Hivi siku hizi hakuna mafundi seremala wabunifu? mpelekee mchoro fundi seremala akuchongee kwa size yako
 
Kama upo dar Nenda duka la samsung pale quality centre zipo wall mount za kugundika ukutani ila ni kwa LED tv tu na pia kuna limit ya ukubwa..hutoboi ukuta kabisa
 
Back
Top Bottom