Continental Mpeg 4 DVB T/T2 + Digitek Mpeg 4= Sijui kama Startimes watapona!

Continental Mpeg 4 DVB T/T2 + Digitek Mpeg 4= Sijui kama Startimes watapona!

Ila kwa sisi tuliopo mikoa ya pembezoni mwa ziwa victoria ukiacha mwanza tulie tu. Maanake tunasikia uunganishaji wa digitali unaanza kwanza mikoa ya DAR,Moro,Mbeya,Tanga,Moshi,Arusha na Mwanza!Eti sisi baada ya miezi mi3,i dont think if truely this will work. Ukweli sisi ni wa pembezoni hasaa!!!!!!!!!!!!
 
Ingawa mimi sio mtalamu sana wa hivi vitu lakini kwa kifupi iko hivi:
FTA maana yake ni Free To Air.Hizi ni channels ambazo zipo free kupata,kwa maana kwamba huhitaji kulipia.Vituo vya TV/Radio vinakuwa vinatumia satelite mbali mbali huko angani ktk kurusha matangazo yao ili kumfikia mtazamaji.Sasa kama ulishawahi kuona madishi kwenye paa za nyumba za watu(hata Dar yapo),maana yake ni kwamba wao wananasa matangazo ya TV kupitia hayo madishi.

Hii ni rahisi tu kuelewa.Kwa namna ulivyokuwa unatumia antena kunasa matangazo kutoka kwenye minara ya TV iliyopo kisarawe au maeneo mbalimbali nchini,ndivyo inavyokuwa katika kutumia madishi(satelite dishes),tofauti tu ni kwamba madishi badala ya kuelekeza ilipo minara ya matangazo,yenyewe huwa yanaelekezwa ilipo satelite inayorusha matangazo ya chaneli unayotaka.Kwa mfano,ukitaka kupata ITV,StarTV,TBC1 etc,unaelekeza dish lako upande wa mashariki.

Kumbuka huko angani kuna Satelite nyingi,na kila moja inacover eneo fulani la dunia.Kwa mfano,zipo zinazocover Asia au Europe tu,haziwezi kucover Africa au Amerika.Kwa hiyo wenye vituo wa tv/radio wanatumia satelites zinazocover eneo la watazamaji wake.Kwa hiyo kwa mfano local channels za TZ zinatumia satelites zinazocover eneo la TZ/East Africa.Kwa kwa hakika local channels zetu zinatumia satelite moja,except Ch10 inayopatikana ktk satelite zaidi ya moja.

Ukishatambua kuwa satelite zina coverage tofauti,warusha matangazo wanatumia satelite itakayoweza kucover as larger area as posible,kwa hiyo kwa local channels ztu za TZ zinatumia satelite inayocover TZ nzima.Hivyo basi hata wewe wa Dar ukitumia satelite dish utanasa kama watu wengine tulioko mikoani.Tatizo lilipoonekana ni kwamba TV nyingi za kwetu zipo Dar,na katika mfumo wa analogy uliokuwa ukitumika hapo awali uliwafavour watu wa Dar kwa kuwa ulikuwa ukichomeka tu antena kwenye TV screen yako unapata matangazo bila shida.Kwa mikoani ni tofauti kwa sababu minara ya kurushia matangazo ipo mjini na hasa miji mikuu ya mikoa;na kwa kawaida ile minara ina uwezo wa kurusha signal kwa umbali wa kilomita chache tu,kwa hiyo watu wa wilayani na maeneo yaliyopo mbali na mnara wanashindwa kunasa matangazo.Pia kituo cha TV/radio chenye mnara ktk eneo hilo ndicho kinachoonekana tu;na kwa hakika vituo vyetu vya tv/radio havijaenea kiasi kikubwa.Kutokana na sababu hiyo watu wa mikoani kimbilio lao kuu lilikuwa ni kununua madish ambayo kwa asili yake tayari yapo ktk mfumo wa digitali,ndio maana hili tufani la tarehe 31/12/2012 halikuwadhuru watu wa mikoani.

Kuhusu MPEG4 receiver iko hivi.Kama una deck ya kucheza CD hapo nyumbani utakuta wameandika ni aina gani ya format inacheza,kwa mfano,VCD,MP3,DVD etc.Hali kadhalika na tv nazo zina format ya urushaji wa picha/matangazo.Currently,tuna receivers za MPEG2 & MPEG4(plus some other different specifications),MPEG4 receiver inacheza pia video za mfumo wa MPEG2 ila MPEG2 haiwezi kucheza za MPEG4,hivyo basi ukiwa na MPEG4 unakuwa na uwanja mpana wa kupata matangazo ya tv nyingi zaidi kuliko mwenye MPEG2.

Pia upataji wa tv nyingi unategemea wewe umeelekeza dish lako kwenye satelite gani,ukubwa wa dish lako,aina ya receiver,fundi mzuri na mambo kadhaa ambayo fundi wako(mzuri) atakushauri.Kuna satelite zinakuwa na FTA channels nyingi kuliko zingine.Kwa mfano,satelite wanayotumia TBC1,Startv,ITV na wenzake,haina channels nyingi sana.Tatizo unaloweza kupata ni kwamba unaweza ukapata satelite yenye FTA channels nyingi na nzuri,lakini ikawa sio wanayotumia wenzetu wa local channels.Kwa hiyo hapo unaweza kuaamua mwenyewe aidha ubaki na local channels ambazo ni chache,au upate hizo zilizo nyingi,it's your choice!

Lakini pia usisahau kuwa sio local channels zote zinazotumia mfumo wa satelite ktk kuwafikia watazamaji wake.Kwa mfano,Mlimani tv,CTV,Sibuka etc hutaweza kuzipata kupitia mfumo huu.Na hizi ndio miongoni mwa TV zilizosombwa na mafuriko ya 31/12/2012.Kwa sasa local channels ambazo unaweza kupata kupitia mfumo huu ni TBC1,Startv,Ch10,ITV,EATV na Capital tv.

Ahsante sana kwa UCHANGANUZI wako nimeupenda
 
Mrimi kwani nikitaka kununua dish full set la futi sita.Ntapata kwa sh. Ngapi?
 
Dish Original kabisa utapata kwa 120,000 na itakubidi uende na Fundi. Otherwise unaweza kuuziwa la 60,000 fake kwa bei ya Genuine Mkuu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ingawa mimi sio mtalamu sana wa hivi vitu lakini kwa kifupi iko hivi:
Fta maana yake ni free to air.hizi ni channels ambazo zipo free kupata,kwa maana kwamba huhitaji kulipia.vituo vya tv/radio vinakuwa vinatumia satelite mbali mbali huko angani ktk kurusha matangazo yao ili kumfikia mtazamaji.sasa kama ulishawahi kuona madishi kwenye paa za nyumba za watu(hata dar yapo),maana yake ni kwamba wao wananasa matangazo ya tv kupitia hayo madishi.

Hii ni rahisi tu kuelewa.kwa namna ulivyokuwa unatumia antena kunasa matangazo kutoka kwenye minara ya tv iliyopo kisarawe au maeneo mbalimbali nchini,ndivyo inavyokuwa katika kutumia madishi(satelite dishes),tofauti tu ni kwamba madishi badala ya kuelekeza ilipo minara ya matangazo,yenyewe huwa yanaelekezwa ilipo satelite inayorusha matangazo ya chaneli unayotaka.kwa mfano,ukitaka kupata itv,startv,tbc1 etc,unaelekeza dish lako upande wa mashariki.

Kumbuka huko angani kuna satelite nyingi,na kila moja inacover eneo fulani la dunia.kwa mfano,zipo zinazocover asia au europe tu,haziwezi kucover africa au amerika.kwa hiyo wenye vituo wa tv/radio wanatumia satelites zinazocover eneo la watazamaji wake.kwa hiyo kwa mfano local channels za tz zinatumia satelites zinazocover eneo la tz/east africa.kwa kwa hakika local channels zetu zinatumia satelite moja,except ch10 inayopatikana ktk satelite zaidi ya moja.

Ukishatambua kuwa satelite zina coverage tofauti,warusha matangazo wanatumia satelite itakayoweza kucover as larger area as posible,kwa hiyo kwa local channels ztu za tz zinatumia satelite inayocover tz nzima.hivyo basi hata wewe wa dar ukitumia satelite dish utanasa kama watu wengine tulioko mikoani.tatizo lilipoonekana ni kwamba tv nyingi za kwetu zipo dar,na katika mfumo wa analogy uliokuwa ukitumika hapo awali uliwafavour watu wa dar kwa kuwa ulikuwa ukichomeka tu antena kwenye tv screen yako unapata matangazo bila shida.kwa mikoani ni tofauti kwa sababu minara ya kurushia matangazo ipo mjini na hasa miji mikuu ya mikoa;na kwa kawaida ile minara ina uwezo wa kurusha signal kwa umbali wa kilomita chache tu,kwa hiyo watu wa wilayani na maeneo yaliyopo mbali na mnara wanashindwa kunasa matangazo.pia kituo cha tv/radio chenye mnara ktk eneo hilo ndicho kinachoonekana tu;na kwa hakika vituo vyetu vya tv/radio havijaenea kiasi kikubwa.kutokana na sababu hiyo watu wa mikoani kimbilio lao kuu lilikuwa ni kununua madish ambayo kwa asili yake tayari yapo ktk mfumo wa digitali,ndio maana hili tufani la tarehe 31/12/2012 halikuwadhuru watu wa mikoani.

Kuhusu mpeg4 receiver iko hivi.kama una deck ya kucheza cd hapo nyumbani utakuta wameandika ni aina gani ya format inacheza,kwa mfano,vcd,mp3,dvd etc.hali kadhalika na tv nazo zina format ya urushaji wa picha/matangazo.currently,tuna receivers za mpeg2 & mpeg4(plus some other different specifications),mpeg4 receiver inacheza pia video za mfumo wa mpeg2 ila mpeg2 haiwezi kucheza za mpeg4,hivyo basi ukiwa na mpeg4 unakuwa na uwanja mpana wa kupata matangazo ya tv nyingi zaidi kuliko mwenye mpeg2.

Pia upataji wa tv nyingi unategemea wewe umeelekeza dish lako kwenye satelite gani,ukubwa wa dish lako,aina ya receiver,fundi mzuri na mambo kadhaa ambayo fundi wako(mzuri) atakushauri.kuna satelite zinakuwa na fta channels nyingi kuliko zingine.kwa mfano,satelite wanayotumia tbc1,startv,itv na wenzake,haina channels nyingi sana.tatizo unaloweza kupata ni kwamba unaweza ukapata satelite yenye fta channels nyingi na nzuri,lakini ikawa sio wanayotumia wenzetu wa local channels.kwa hiyo hapo unaweza kuaamua mwenyewe aidha ubaki na local channels ambazo ni chache,au upate hizo zilizo nyingi,it's your choice!

Lakini pia usisahau kuwa sio local channels zote zinazotumia mfumo wa satelite ktk kuwafikia watazamaji wake.kwa mfano,mlimani tv,ctv,sibuka etc hutaweza kuzipata kupitia mfumo huu.na hizi ndio miongoni mwa tv zilizosombwa na mafuriko ya 31/12/2012.kwa sasa local channels ambazo unaweza kupata kupitia mfumo huu ni tbc1,startv,ch10,itv,eatv na capital tv.

nashukuru sana kwa maelelezo mazuri lakini nilitaka kuuliza juu ya kifaa kinachoitwa

disque
 
Ingawa mimi sio mtalamu sana wa hivi vitu lakini kwa kifupi iko hivi:
FTA maana yake ni Free To Air.Hizi ni channels ambazo zipo free kupata,kwa maana kwamba huhitaji kulipia.Vituo vya TV/Radio vinakuwa vinatumia satelite mbali mbali huko angani ktk kurusha matangazo yao ili kumfikia mtazamaji.Sasa kama ulishawahi kuona madishi kwenye paa za nyumba za watu(hata Dar yapo),maana yake ni kwamba wao wananasa matangazo ya TV kupitia hayo madishi.

Hii ni rahisi tu kuelewa.Kwa namna ulivyokuwa unatumia antena kunasa matangazo kutoka kwenye minara ya TV iliyopo kisarawe au maeneo mbalimbali nchini,ndivyo inavyokuwa katika kutumia madishi(satelite dishes),tofauti tu ni kwamba madishi badala ya kuelekeza ilipo minara ya matangazo,yenyewe huwa yanaelekezwa ilipo satelite inayorusha matangazo ya chaneli unayotaka.Kwa mfano,ukitaka kupata ITV,StarTV,TBC1 etc,unaelekeza dish lako upande wa mashariki.

Kumbuka huko angani kuna Satelite nyingi,na kila moja inacover eneo fulani la dunia.Kwa mfano,zipo zinazocover Asia au Europe tu,haziwezi kucover Africa au Amerika.Kwa hiyo wenye vituo wa tv/radio wanatumia satelites zinazocover eneo la watazamaji wake.Kwa hiyo kwa mfano local channels za TZ zinatumia satelites zinazocover eneo la TZ/East Africa.Kwa kwa hakika local channels zetu zinatumia satelite moja,except Ch10 inayopatikana ktk satelite zaidi ya moja.

Ukishatambua kuwa satelite zina coverage tofauti,warusha matangazo wanatumia satelite itakayoweza kucover as larger area as posible,kwa hiyo kwa local channels ztu za TZ zinatumia satelite inayocover TZ nzima.Hivyo basi hata wewe wa Dar ukitumia satelite dish utanasa kama watu wengine tulioko mikoani.Tatizo lilipoonekana ni kwamba TV nyingi za kwetu zipo Dar,na katika mfumo wa analogy uliokuwa ukitumika hapo awali uliwafavour watu wa Dar kwa kuwa ulikuwa ukichomeka tu antena kwenye TV screen yako unapata matangazo bila shida.Kwa mikoani ni tofauti kwa sababu minara ya kurushia matangazo ipo mjini na hasa miji mikuu ya mikoa;na kwa kawaida ile minara ina uwezo wa kurusha signal kwa umbali wa kilomita chache tu,kwa hiyo watu wa wilayani na maeneo yaliyopo mbali na mnara wanashindwa kunasa matangazo.Pia kituo cha TV/radio chenye mnara ktk eneo hilo ndicho kinachoonekana tu;na kwa hakika vituo vyetu vya tv/radio havijaenea kiasi kikubwa.Kutokana na sababu hiyo watu wa mikoani kimbilio lao kuu lilikuwa ni kununua madish ambayo kwa asili yake tayari yapo ktk mfumo wa digitali,ndio maana hili tufani la tarehe 31/12/2012 halikuwadhuru watu wa mikoani.

Kuhusu MPEG4 receiver iko hivi.Kama una deck ya kucheza CD hapo nyumbani utakuta wameandika ni aina gani ya format inacheza,kwa mfano,VCD,MP3,DVD etc.Hali kadhalika na tv nazo zina format ya urushaji wa picha/matangazo.Currently,tuna receivers za MPEG2 & MPEG4(plus some other different specifications),MPEG4 receiver inacheza pia video za mfumo wa MPEG2 ila MPEG2 haiwezi kucheza za MPEG4,hivyo basi ukiwa na MPEG4 unakuwa na uwanja mpana wa kupata matangazo ya tv nyingi zaidi kuliko mwenye MPEG2.

Pia upataji wa tv nyingi unategemea wewe umeelekeza dish lako kwenye satelite gani,ukubwa wa dish lako,aina ya receiver,fundi mzuri na mambo kadhaa ambayo fundi wako(mzuri) atakushauri.Kuna satelite zinakuwa na FTA channels nyingi kuliko zingine.Kwa mfano,satelite wanayotumia TBC1,Startv,ITV na wenzake,haina channels nyingi sana.Tatizo unaloweza kupata ni kwamba unaweza ukapata satelite yenye FTA channels nyingi na nzuri,lakini ikawa sio wanayotumia wenzetu wa local channels.Kwa hiyo hapo unaweza kuaamua mwenyewe aidha ubaki na local channels ambazo ni chache,au upate hizo zilizo nyingi,it's your choice!

Lakini pia usisahau kuwa sio local channels zote zinazotumia mfumo wa satelite ktk kuwafikia watazamaji wake.Kwa mfano,Mlimani tv,CTV,Sibuka etc hutaweza kuzipata kupitia mfumo huu.Na hizi ndio miongoni mwa TV zilizosombwa na mafuriko ya 31/12/2012.Kwa sasa local channels ambazo unaweza kupata kupitia mfumo huu ni TBC1,Startv,Ch10,ITV,EATV na Capital tv.
Mrimi maelez yako yamejibu kila kitu Ahsante sana!umetusaidia wengi maana hapo awali tulizoea kupata majibu ya "mpango mzima dish!'bila ufafanuzi!ahsante tena na karibu iftar jioni ya leo!
 
Mrimi maelez yako yamejibu kila kitu Ahsante sana!umetusaidia wengi maana hapo awali tulizoea kupata majibu ya "mpango mzima dish!'bila ufafanuzi!ahsante tena na karibu iftar jioni ya leo!

Pamoja sana mkuu.
 
nashukuru sana kwa maelelezo mazuri lakini nilitaka kuuliza juu ya kifaa kinachoitwa

disque

Sidhani kama kuna kifaa chenye jina hilo. Ila kuna kifaa kingine kinachoitwa 'DiseqC Switch. Kazi ya hiki kifaa ni kuunganisha signal anuwai za tv kutoka kwenye LNBF (kile kifaa kilicho juu ya dish). Kwa maana hiyo, iwapo kwenye dish lako umefunga Lnbf kadhaa, ama una madish kadhaa yenye Lnbf nyingi, kifaa hiki hutumika kuunganisha hizo Lnbf zote na kutoa output moja tu ambayo ndio huingia katika receiver au decoder yako. Unaweza kuunganisha signal kutoka madish hata kumi kwa switch moja au mbili tu. Lnbf kubwa niliyoiona dukani ni ile inayoweza kuunganisha signal kutoka input 8 tofauti!
 
Binafsi mi sitarajii makubwa sana,kwa sababu ubora wa vipindi hautegemei aina ya king'amuzi bali tv stations zinazoandaa vipindi.So,kama nao wataingiza fta chanels za kihindi na kinigeria nao watakuwa wale wale.

Halafu so long as nao wanatumia DBT hata kama na DBT10,siwapi credit sana labda kama DBS pengine tungeweza kuchakachua tukapata chanels zaidi ya hizo watakazokuwa wanatuuzia.

The only solution ni kutafuta Decoder nzuri ya fta,satelite dish la ukweli na fundi mzuri unaistall kisha unaanza kula maisha.
 
Back
Top Bottom