Recent content by ngaribazezeta

  1. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi yamekua! Nenda tu babu

    Tumeishi maisha ya wasiwasi kwa kitambo kirefu mkuu wacha tuone changes sasa
  2. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi yamekua! Nenda tu babu

    Ahsante Yesu
  3. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Sifa za wilaya ya Kondoa na wakazi wa Kondoa

    Kondoa ni Wilaya sio Mkoa
  4. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mgeni rasmi kusimikwa kwa Askofu Mkuu mteule Askofu Isaac Amani Masawe jimbo kuu la Arusha

    Mbona mimi sioni walichokurupuka. Naona wako sahihi
  5. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mgeni rasmi kusimikwa kwa Askofu Mkuu mteule Askofu Isaac Amani Masawe jimbo kuu la Arusha

    Mkuu hayo matangazo yanarushwa kutoka Arusha Mjini na sio tofauti na hapo. Ninavyofikiri mimi hapo TBC wameandika ARUSHA - MJINI wakimaanisha kuwa wanarusha matangazo kutoka Arusha Mjini,sijaona tatizo bado. Na hii inakuwa rahisi kwa mtu yeyote anayetazama haya matangazo kujua kinachooneshwa...
  6. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Kocha wa Manchester Utd, Jose Mourinho

    Chelsea 3 - Barca 0
  7. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Bila red card, Barcelona hatomfunga Chelsea!

    Na imekuwa hivyo
  8. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Majivuno Wakati Mwingine Hayafai, Jamaa Mmoja Alipanda Daladala Mara Simu Ikaita,, Jamaa Akaitoa Mfukoni Kuangalia Ni Mke Wake Anapiga!! Jamaa Kwa Kutaka Kujionyesha Akaweka Loud Speaker Jamaa Akamuuliza Mke Wake."Saivi Tu Umenimiss Mke Wangu Au Tatizo Nini Niambie Basi Babby"...
  9. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume huwa mnajua maana ya ''one night stand''?

    One night stand = kusimama mara moja usiku
  10. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji2]
  11. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Wachezaji wa Akiba wa Soka

    Ahsante kwa kutufanya tucheke mkuu
  12. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Marangu Coach, nani kawashauri kuweka Movie zilizotafsiriwa?

    Japo mimi sio mfanyakazi wa Marangu Coach naomba nichangie uzi huu kidogo sana: 1. Basi la abiria linabeba watu wengi na yawezekana wakawa wanatofautiana kimitazamo,tabia,imani,umri,vionjo,kiwango cha elimu,uelewa,nk. Hivyo sio ajabu kukuta wewe unapenda kwenye basi uangalie filamu wakati...
  13. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania Seriouly natafuta mwanamke wa kuishi nae

    Mkuu acha nongwa
  14. ngaribazezeta

    JamiiForums Tanzania I am Looking for Friends Who speak English

    Kumbe ningesema "If i get someone who English is his/her first language will be better" ningekuwa nimevunja ee
Back
Top Bottom