Recent content by Ngariba mwenyewe

  1. N

    Nahisi kuua mtu asubuhi hii, naomba ushauri wenu...

    Write your reply...hutaua jaribu uone,,, kwanza roho yako nyepes huwez kuhifadh mambo mazito .... Kihivo tu umeshatoboa sir kam ndugu wa mzee nakusubir nikuoneshe tamu ya shubir
  2. N

    Frank Francis,mwanafunzi aliyewahi kuwa wa mwisho kidato cha sita,wa kwanza mara sita mfululizo msingi,wa saba kati ya wanafunzi elfu mbili...

    Write your reply...tumefikia hapa mtani!!!!! fikra na neno vinakwepana Kama ncha za sumaku .... All in all najua wewe zao la form six unaleta uzoefu wa shule ya tungo ya maneno 5000 jukwaan
  3. N

    Biashara ya duka stress tupu

    Write your reply...duka dukan haaaa!!!! Haaaaaa haaaaa
  4. N

    Natafuta eneo la Car wash

    Write your reply..jaman mkujeni wenye plot zenu ila boss tushirikishe bajeti yako Kwenye maandaliz yako Kwenye hiyo mambo....
  5. N

    hapa natafuta TV mtumba na deki

    Kwa watu wangu wa nguvu ... Nahitaji tv chogo inch 21 ya mtumba Iwe ama in Hitachi au Sony mwenye nayo tuongee biashara . Au kwa maduka ya bidhaa hizo mjini moro au DSM,no 0679153374.
  6. N

    Niuzie kabati la nguo nipo dar

    To a oda utengenezewe mkoa
  7. N

    Natafuta TV chongo inchi 21na deki kwa 80000

    Ndugu jamaa na marafiki , , , natafuta TV mtumba pamoja na deki yake, dau kama nilivyotoa muongozo hapo.
  8. N

    Msaada wa kujitolea kwa kampuni za utalii,au campings ( selous game reserve, mikumi park)

    habari ndugu,jamaa, marafiki na makampuni yote mnaohusika au kuwekeza mbuga ya mikumi/hifadhi ya wanyama selous, naombeni msaada wenu kujitolea kufanya kazi katika kampuni za utalii,logde au hotel, nihudumu mojawapo ya kazi hizi >tour guide >front office attendant/receptionist > driver...
  9. N

    Msaada wa kazi ya ukondakta, kwa madereva na wamiliki wa magari

    Heshhma kwenu wote, ndugu jamaa namarafiki, naomben msaada wa kaz au kibarua kwenye mabasi au magari makubwa ya mizigo,ninaweza kuendesha magari,pia uzoef wa kuwa konda wa mabasi na naweza kuongea vizuri kingereza, kiswahili na kifaransa sio sana.
  10. N

    Wakurugenzi na waajiri wote naomba msaada

    Ninao ujuz ufuatao; >Computer & internet, ms,excel,publisher, etc >Dereva mzuri wa bodaboda >Naweza kutengeneza simu > Ni photographer mzuri sana, pia ninaweza kucheza kiasi na adobeephotoshop,premiere na video editor. Hitaji langu kwa sasa nipate iwe kaz au kibarua, proffesional yangu ni...
  11. N

    Dereva boda boda makini anapatikana hapa

    Khabari waanajukwaa, heshima kwenu, mimi ni dereva wa pikipiki, pia nina fahamu vitu vingi katika ufundi pikipiki. Najitokeza kwenu wanajukwaa, kwa yeyote atakayekuwa tayari kuingia mkataba wa kuendesha bodaboda, nifanye kazi. Natanguliza shukurani mawasiliano 0769056444.
  12. N

    Msaada:anayeuza pikipiki iliyotumika kias tuwasiliane

    Habari ndugu,nataka kununua pikipiki iliyotumika kiasi na ninapendelea zaidi sunlg tolen B, kwa yeyote anayeuza maeneo ya dar tuwasiliane.
  13. N

    Nani tushilikiane kilimo cha nyanya Ana hybreed?

    -Nina bonde ekari 1 -waterpumb mm 250 -Ardhi yenye rutuba,maji ya uhakika eneo lina ulinz wa uhakika. -Eneo lipo jiran na barabara kuu(DAR-DOM) Nahitaji mtu atakayenisaport mbegu,gharama za kutifulia,kusia mbegu na kupanda. Shamba lipo dom kongwa vijijin. Nahitaji mtu commited ambaye...
Back
Top Bottom