Ngariba mwenyewe
Member
- Nov 10, 2013
- 23
- 3
Habari ndugu,nataka kununua pikipiki iliyotumika kiasi na ninapendelea zaidi sunlg tolen B, kwa yeyote anayeuza maeneo ya dar tuwasiliane.
Habari ndugu,nataka kununua pikipiki iliyotumika kiasi na ninapendelea zaidi sunlg tolen B, kwa yeyote anayeuza maeneo ya dar tuwasiliane.
Mzee mimi nauza honda kama unaitaka nipigie 078 421 1726
Kuna Boxer BM 100 mpya kwa 1.6 ipo Dar
Habari ndugu,nataka kununua pikipiki iliyotumika kiasi na ninapendelea zaidi sunlg tolen B, kwa yeyote anayeuza maeneo ya dar tuwasiliane.
Mpya 1.6?weka picha na Plate number
Maana najua mpya zipo Dukani,na ni zaidi ya 2m.
Maana kwa bei hiyo either impigwa sehem au yale yale ya imetumika kisha mtu kusema mpya.
kaka ni pm namba yakoKuna Boxer BM 100 mpya kwa 1.6 ipo Dar
Hapo utauziwa hadi guta sasa.
Mie ninayo Boxer,nabadilisha kila baada ya mize sita nanunua mpya.
So,hii nimenunua mwaka Jana December.
Lete 1.6 usepe nayo ina full Bima
weka namba tuwasiliane