Natafuta TV chongo inchi 21na deki kwa 80000

Hahaha,mkuu umesoma alama za nyakati,maana haya ma flat kesi tupu siku hizi.
Ila mkuu Deck gani unaulizia hapa,zile za mkebe au,maana za mkebe hazipo duniani kwa sasa
 
Hivi nini hasa tatizo kubwa la Flat Tv,na je ipi ni brand bora zaidi.
 
Mkuu hata sijui tatizo nini,yaani utatumia muda mfupi tu itaanza kuzingua.
Ninachogo langu hapa home,tangu Naoa mwaka 2004 mpaka leo ipo.
Na haijaenda kwa funid hadi leo,ni Hitach.Nimenunua chogo jingine kubwa ila screan yake ipo flat,lakini zito balaa lipo fresh ile mbaya.

Uzuri wa flat ni ulaji wa umeme,hazili umeme kabisaa yaani kidogo saana,na zipo nyingine zina adapter hata kwa betri ya gari unaiwasha hata kama kubwa.Ila haya machogo kiasi fulani yanalamba unit ila sio kivile

Na Flat ikiharibika matengenezo yake sio ya kitoto,iloa chogo,hakuna matengenezo ya zaidi ya 30,000.
 
Dah!kweli mkuu nina TV chogo lakini ina Flat screen inaitwa Latecson toka Japan,ina Hi-fi na ni HD resolution yake ni 1080i inaonesha clear sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom