Recent content by Ngarenaro

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa Mr 2 a.k.a Sugu unaitwa Barua ya wazi kwa Rais. Huu wimbo Sugu alizungumza vitu vingi kuhusu mwenendo wa Uchumi na uongozi wa nchi Wakati wa utawala wa Mkapa. Nimeutafuta sana bila mafanikio.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Huyo Lowassa hana sera hata moja sasa unataka clouds wafanyaje. Yeye aendelee na kusema peoples tuone kama hao peoples watampeleka ikulu pasipo kuwa na sera nzuri
  3. N

    JamiiForums Tanzania Waliofungiwa CCM waendelea kubanwa

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vya chama hicho kuanza mwezi huu ikionyesha mchakato wa kuchukua fomu za kuwania kugombea urais utafanyika wakati makada wake sita waliofungiwa wakiendelea kuwa kifungoni. Akizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, Katibu wa Halmashauri Kuu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Masaburi: Kuna wanaogombea Urais na wanaotapitia Urais

    Nadhani Masaburi amewajibu vizuri zana hao wapuuzi wanaokesha kutunga uongo usio na kichwa wala miguu, yaani tangu msiba utokee unawiki sas imepita halafu mama Tunu Pinda aje kulalamika leo. Siku zote alikua wapi. Vijana acheni kutumika huyo Lowassa wenu ni bora mumtangaze kuwa Rais wa Jamhuri...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Pinda aingia mitini kukwepa BVR!

    Acha kuongea upuuzi, unaweza thibitisha unachokisema
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Vyuo Vikuu kuandamana kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Urais

    Endeleeni kumtekenya huyo bwana wenu lowassa kisha ajichekeshe kicheko cha kujivunja mbavu lakini safari hii ataikoga aibu kuliko ya Richmond. Time will tell
  7. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uzinduzi wa uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa (BVR)

    Vinahusiana vp Mkuu, mbn unatuchanganyia habari. Acha kukurupuka
  8. N

    JamiiForums Tanzania Pinda azidi kuonesha makali

    Kwahyo ulitaka akurupuke kufanya maamuzi, kajipange upya. Tunahitaji kiongozi mwenye busara na hekima, muadilifu na mchapa kazi kama Pinda
  9. N

    JamiiForums Tanzania Pinda azidi kuonesha makali

    Mkuu Narenanyuki naungana na kauli yako ni kweli leo Mizengo Pinda dunia inamkumbuka lile chozi alilia kama mzazi lkn pia kama kiongozi alisimamia sheria kuwapa nguvu jeshi la polisi kudhibiti mauaji ya Albino. Mtakumbuka kwa muda ule ilikua haipiti siku tunapata taafufa za mauaji ya albino lkn...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    Ocampo four nakupuuza kama ninavyopuuza thread zako za kumtetea huyo fisadi wako Lowassa. Ukweli ni kwamba Waziri Mkuu Mizengo Pinda hawezi kufikiria kumshughulikia moja ya mawaziri wake kisa tu eti walitaka kumchafua. Pinda ni kiongozi mwenye busara hawezi kufanya mambo ya kipuuzi kama hayo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa alazimisha ugeni rasmi uzinduzi helikopta ya Gwajima

    Kama kweli mnaimani kuwa Lowassa atakuwa Rais wa nchi hii hamna sababu ya kutembea uchi, hiyo ni dalili ya kuwa na kihoro cha mgombea wenu kutolewa hatua za awali kabisa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Pinda amwaga mamillioni, zawachanganya wajumbe wa baraza kuu UVCCM taifa leo hii Dodoma

    Ocampo four et al u all know what sort of game you are playing, don't twist our minds. If what John Okello says is correct n genuine then wouldn't be difficult to prove with evidence. As Unga ltd suggested John Okello should have came with evidence to justify his post. Otherwise I will regard it...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Updates on Oral Interview PPF

    Umeitwa interview lini na wapi
  14. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Pole sana Zitto Kabwe. Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema peponi. Amiin
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    The art of making deal by Donald Trump
Back
Top Bottom