Recent content by Ngaramtoni

  1. N

    GE2025 Mpelumbe ajitosa ubunge jimbo la Masasi

    Bwana Dunford Mpelumbe naye ajitokeza kuwania kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Masasi kwa tiketi ya chama chake cha CCM. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima
  2. N

    Israel vs Iran - 2

    Next.....?
  3. N

    COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    Kama vile naona kuna mwingine yeye anaonekana kichwa tu, upande wa kushoto wa picha Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Bodi ya Mikopo inawaibia Watanzania

    Kuna kampuni niliwahi kufanya kazi,wakawa wananikata huo mkopo lakini walikuwa hawapeleki huko bodi for almost two years. Nimekuja kwenda kuangalia balance,duuh nimekuta deni limepanda from 4mil to 10 mil.nimebaki sijui naanzia wap ila risit zangu zote(salary slips) kwa muda huo wote niliokatwa...
  5. N

    Kuhusu Mitihani ya Carry over

    Duh hapo kwenye kuandika barua sidhani kama alifanya, na ukiwa disqualified ina maana ukitaka kurudi chuo unaaply upya first year?manake sasa haya Ni majanga
  6. N

    Kuhusu Mitihani ya Carry over

    Wakuu kwema,naweza kuwa nimeweka kwenye forum isiyo sahihi sana lakini mtaniwia radhi.Nina jamaa yangu alikuwa anasoma chuo cha SAUT,akiwa mwaka wa mwisho alipata carry ya masoma mawili,kabla ya kwenda kufanya hiyo mitiani akapata kazi hivyo akaenda kufanya kazi akaachana na hiyo mitihani.Sasa...
  7. N

    Mpango wa BREXIT uliowasilishwa na May wakataliwa na Bunge

    At the end hii ngoma itamsumbua sana May,kwa nini asijiuzulu akawaachia wafanyr wanavyoona inafaa?Au kwani haiwezekani kurevoke kila kitu na kuachanq kqbisa na huo mpango? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    US government shutdown

    For several days now the several US federal agencies are in shutdown.This is after the president and Congress failed to reach an agreement on the funding of the wall bordering Mexico.So will happen if both side keep their feet on the ground regarding their demands? Sent using Jamii Forums...
  9. N

    IGP Sirro: Gari lililomteka Mo Dewji ni la nchi jirani. Kwa sasa hatuhitaji msaada wa vyombo vya uchunguzi kutoka nje. Tuviamini vyombo vyetu

    ndo maana Mimi siku nyingi nimeacha kusikiliza press conference zetu.bora nisubirie kusoma jf
  10. N

    Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi

    as simple as like that, RC chapa kazi haijalishi ni ya kujenga ama kubomoa. Lakini pia post zetu zinamuudhi sana mkuu,jamani tufanyaje?
  11. N

    TANESCO inagawa units 700 za umeme kwa wafanyakazi

    kama ni hivyo watoto wa walimu basi nao wawe wanasoma bure au nusu ya ada manake doubles standards sio poa kabisa
  12. N

    Nape, Jeshi la polisi na JWTZ mna la kuongea kuhusu tukio la uvamizi Clouds Media Group

    Tatizo hapo ni nani ana uhakika hapo kweli ni clouds fm?
  13. N

    mwenye kufahamu kuhusu onelife /onecoin

    ukiwapata ni kweli wanakulipa
  14. N

    mwenye kufahamu kuhusu onelife /onecoin

    Salama zenu wote. Nilikutana na watu wakizungumzia kuhusu kichwa habari hapo. Wakisema kuwa unanunua something like a package alafu mwisho wa mwaka unalipwa kiasi fulani cha pesa.mfano,walisema kuna package inauzwa laki tatu na nusu ambapo mwishoni utapata 1250000.sikuelewa vema na nilipojaribu...
Back
Top Bottom