Recent content by ngarambi

  1. ngarambi

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea ikiwa marehemu aliombwa akifa azikwe sehemu fulani lakini akazikiwa sehemu nyingine?

    Bibi yake baba tulipotaka kumzika sehemu tofauti na aliyotaka yeye tulishindwa kuchimba kaburi ardhi aikufunguka kwa kitu chochote unachokijua wewe hadi pale alipombwa kuwa baadae watahamisha kaburi.kwakuwa wakati huo kulikuwa hakuna mtu ambaye alikuwa na uwezo wa kuusafisha mwili huo.ambaye...
  2. ngarambi

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Yanga ilipanga kupoteza mechi ya derby

    Sema lengo ni kuchukua vikombe na kumfunga mtani simba
  3. ngarambi

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yapiga marufuku watoto kukaa bweni (boarding) kuanzia darasa la nne kushuka chini

    Kinachofuata kila mwanaume atalazimika kuoa mwanamke wa kabila lake ili kulinda maadili na lugha kwa watoto.
  4. ngarambi

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Wamarekani wanatudharau

    Bill Clinton pale vingunguti ilikuwa state visit.
  5. ngarambi

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Wamarekani wanatudharau

    Hivi ile ya Bill Clinton pale vingunguti ilikuwa ni state visit.
  6. ngarambi

    JamiiForums Tanzania DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

    Aliyekuwa surgeon mahiri na mwalimu wangu wa surgery.
  7. ngarambi

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Niliajiriwa serikalini toka august 1982 nililikuta tutafute jingine.
  8. ngarambi

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Mbona hii ipo toka enzi za marehemu mwl cha ajabu ni kipi?
  9. ngarambi

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa CCM mkoani Mara sio raia wa Tanzania

    Safi sana sio lazima kuwa na uraia wa kuzaliwa sio.
  10. ngarambi

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, it's enough. You MUST resign!

    Mshahara wa mbunge ukatwe kodi sawa watumishi wengine.
  11. ngarambi

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, it's enough. You MUST resign!

    Sheria iliyopitishwa na bunge yaweza kuwa nzuri shida kwa hawa wasimamizi wa utungaji wa kanuni. Na ndiyo hasa shida vinginevyo ungesikia statement zao sheria irejewe bungeni na sio kanuni. Kwakuwa kanuni wametengeza wao ndiyo wameamua kwenda kuzirejea. Kwahiyo wafukuzwe kabisa. La tungesema...
  12. ngarambi

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, it's enough. You MUST resign!

    Na Ndungulile pia wa TEHAMA wanapaswa kujiuzulu au fukuzwa kazi.
  13. ngarambi

    JamiiForums Tanzania Lissu achana na stori za risasi, panga hoja zako utawafanyia nini Watanzania

    Kutafuta public sympathy kwasasa ni kupoteza muda.
Back
Top Bottom