Recent content by ngara23

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

    Ulifanyaje mkuu
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

    Duuuh Nina makasiriko tena
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

    We acha tu
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

    Nawezaje kutofautisha Mali binafsi na Mali za ndoa?
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

    Akizuchukua Mali zote na watoto, Mimi nitaishi vipi mkuu. Lengo lake achukue Mali na watoto Bado ni wadogo kisheria wanapaswa kuwa mama. Sasa Mimi nitaanza upya aisee Nibaki Sina kitu
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

    Wakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika. Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni. Haya mambo ya haki sawa yanakata. Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali Naomba tu msaada wa mawazo
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina uzoefu wa kazi ya ulinzi

    Kila la heri Mungu akupatie ajira
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Chivayo alitumiwa na baadhi ya Marais wa Africa katika utakatishaji fedha na wizi wa uchaguzi

    Inasemekana marehemu Chivayo raia wa Zimbabwe ukaribu wake na baadhi ya viongozi wa Africa haukuwa bahati mbaya bali walimtimia katika uchafu wao hasa kutakatisha fedha na kuona uchaguzi Inasemekana katika Taifa Moja la kusadikika huko Mashariki ya mbali, Chivayo ndo alipewa tenda ya...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Watu wote wahudhuria Mkutano wa Chadema

    Naipenda chadema Nasubiria mkutano uje Dar
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ni kiongozi wa shughuli za Tanganyika hawezi kutoka Zanzibar

    Anatoka Madelu anaingia Mzanzibari
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Meta wafuta video ya utupu na kukoroma mitandaoni

    Kuna Raha yake
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta wakuu!! nina changamoto ya kutofika kileleni kabisa

    Mmeo hakukuni vizuri mrembo
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatikisa Bunda. Wassira akataliwa na wananchi waziwazi

    Hiyo nyomi hakuna aliyesombwa na malori
Back
Top Bottom