Recent content by Ngapulila

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sativa: Hii ndio CT Scan ya kichwa changu Iliyopigwa pale Aga khan mida ya mid-night

    Pole sana hiyo risasi iliyopiga kisogoni inamaana haikugusa sehemu ya Ubongo au UTI wa mgongo!? Kwa maelezo ya majeruhi hasa risasi ilipopita kupona kwake n muujiza sana
  2. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini waliopewa Vibali vya kuagiza Sukari kuanikwa hadharani muda wowote kuanzia sasa

    Wanaopewa Kigali kuagiza sukari ni wenye viwanda
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuambizane ndugu zangu uliishije na mwanamke mbishi na mjuaji?

    😁😁😁😁 Nilimwacha mjinga mmoja kwasababu ya hizo tabia za hivyo plus kuwa mali ya umma aisee yeye kukubali Matokeo ilichukua mwaka mzima
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    FCC pakoje kwa anayeanza?
  5. N

    JamiiForums Tanzania TIC vipi tena waahirisha Interview hadi watakapo toa taarifa nyingine

    TIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye Nimepata taarifa hizi kwa rafiki yangu mmoja ya walioitwa usaili
  6. N

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kumiliki ardhi una thamani kubwa tofauti na kumiliki gari

    Hakuna kitu kinachokosa changamoto ila mimi naamini ukiwa makini na usimamizi pamoja na Nidhamu nzuri ya biashara kwa malengo biashara ya gari ni rahisi na return yake ni ya Haraka kiasi cha kukuwezesha kununua na asset nyingine kama hiyo ardhi.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kumiliki ardhi una thamani kubwa tofauti na kumiliki gari

    Kama ni gari ya kutembelea hiyo ni gharama bora kumiliki Ardhi ila kama ni gari ya biashara na inafanya biashara vizuri gari ni Asset nzuri kuliko ardhi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Van der Sar avuja damu kwenye ubongo, alazwa ICU. Inaelezwa anaendelea vizuri

    Pressure kupanda
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Serikali kusimamisha ghafla uuzaji wa chakula nje ya nchi ni unyama dhidi ya wafanyabiashara na wakulima

    Wakauze kwenye mghara ya Taifa Chakula kikipanda bei maisha nayo yanapanda
  10. N

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

    Body marcopolo Brszil Engine Cummins Marekani Gear box Sweeden Diff Japana Gari limetengenezwa kwenye assembling plant ya China model ya Yutong mpo hapo?
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa sasa Kenya ni nchi ya Kimaskini zaidi kuliko Tanzania, serikali ya Kenya yashindwa kulipa hata mishahara!

    Tanzania ujiandae na hiyo hali muda si mrefu Ufisadi kwenye Miradi na ukopaji n wa kiwango cha juu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Jitahidi utembee mini mingi zaidi
Back
Top Bottom