Recent content by ngapori

  1. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Amri ya Rais Magufuli kuhusu 'Mchanga wa Dhahabu' imepotezea nchi Tshs 1.8 Trilioni Capital Gains Tax

    Zitto ameandika vizuri sana. Sio kila kitu wasemacho wapinzani ni lazima serikali ikurupuke na kutekeleza. Kuzia mchanga kusafirishwa ni kitu kimoja na katika maelezo ameonyesha faida ambayo ingepatikana kama kungekua na subira. Au hujasoma article yote. Halafu labda nikuulize, je unajua...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

    Haya ndio maneno. Walitaka warushe habari gani? ITV tumeipenda wenyewe Rais hapo ameingilia uhuru wa habari. Kumbe kurusha habari ya mapigano ni uchochezi. Du. Nilitaka habari za kupikwa kama zile za Trump zilizowafukuzisha watu 9 kazi TBC tutazifuata huko. Kwa sasa kila mtu afanye wajibu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuanzi 1 March tutaweza kuhama mtandao bila ya kubadili namba, Mobile number Portability (MNP)

    Hii sasa inaingia akilini kidogo ngoja tusubiri time will tell the truth maana mabadiliko haya yatawakomesha wenye vifurushi uchwara vya mb 8.
  4. N

    JamiiForums Tanzania The net is closing: Trump anasemekana alikuwa na uhusiano na mashirika ya kijasusi ya Urusi!

    FYI uchaguzi wa US ni baada ya 4yrs
  5. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    Gazet la Kenya kivipi? Walioandika ni wakenya au? Bila shaka Mkurugenzi mkuu na wahariri ni waTZ. Acha mawazo mgando
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio Moshi, ni kweli kwamba muda huu mnavuna mahindi mashambani?

    Moshi msimu wa mavuno ni mwezi wa saba na wa nane. Hakuna kinachovunwa msimu huu labda waliolima kwenye bustani au shamba dogo la kumwagilia.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Boeing: I am pleased to welcome Air Tanzania as the newest member of the Dreamliner family

    Kama anaiga mazuri ni safi sana. Ila asiige tembo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

    Nonesense. Vibaka wapelekwe mahakama ya mafisadi ili iweje? Na mahakama nyingine zitafanya kazi gani? Nani asiyewajya mafisadi wa nchii hii. Unafki ni dhambi mbaya sana. Kama kuna nia ya dhati aanze na wabunge kadhaa waliowahi kutajwa kwenye kashfa mbalimbali za mabilioni ya walipa kodi. CCM ni...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Jeshi la Polisi

    What is ur point? Aliingilia uhuru wa nani kwa maoni yako?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli aibua mjadala nafasi ya Gavana BoT

    Sijui kwanini Rais wetu hapendi kukosolewa. Nadhani ifike mahali tukubaliane kuwa panga pangua inaligharimu taifa na si ajabu muda wake wa kipindi cha miaka mitano ukaisha akipanga pangua na tukabaki tulivyo.
Back
Top Bottom